12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

29. Aliona mengi mfano wa Kursy, Arshi, Hijabu, na Nuru zarangi ambazo hapa duniani hazipo kabisa.30. Alimuona na kumpanda Buraki.31. Aliiona dunia katika dhati ya umbo lake la awali na sasa.32. Aliona mifano ya watu katika hali ya adhabu zao yawmulqiyamazitakavokua.33. Akisali alipotoka usingizini bila kua na haja ya kutawadha.34. Alikua yakilala macho yake, moyo ukimsab-bih Molawake.35. Alifutiwa dhambi zake zote zilotangulia na zilofwatanyuma yake.36. Alikifanza kazi zake kwa mikono yake.37. Alikua Muadilifu.38. Alikua akipenda kutoa – Sakhii.39. Alikua akiwaandikia barua Wafalme akiwataka wasilimu(ambao hawakua Waislamu).40. Alijenga umma wa Kiislamu na Dola ya Kiislamu.41. Alitabiri ambayo ni miungoni mwa yalona-sib wakati wamwisho kabisa.42. Amepasuliwa kifua chake na kusafishwa uchafu wa moyowake.43. Akila alipokuwa na njaa tu, mara moja kila siku tatu.44. Hakuinama alipopita popote pafupi.45. Akiwapenda Mafakiri na Masikini na kukaa nao.46. Akifatwa nyuma na Malaika wa Kiruhani.47. Akirai mno ahadi.48. Hakuzidiwa na yeyote kwa ushujaa.49. Hakuzidiwa na yeyote kwa Ilmu.50. Hakuzidiwa na yeyote kwa Akili.51. Hakuzidiwa na yeyote kwa Busara.52. Hakuzidiwa na yeyote kwa Taf-huma.53. Hakuzidiwa na yeyote kwa Imani.54. Hakuzidiwa na yeyote kwa Taqwa.55. Hakuzidiwa na yeyote kwa Unyenyekevu.56. Hakuzidiwa na yeyote kwa upole.57. Hakuzidiwa na yeyote kwa haya.58. Hakuzidiwa na yeyote kwa utulivu.18.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!