12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Basi ikiwa kwa kazi kuu kama hiyo mahakama ya waamuzi,wameona hastahili kutunukiwa heshima ya Mtawala mkuu,Maulana, jina la heshima la mtu wa cheo kikuu Fulani (Lord) nahali wanapewa ambao kwa malinganisho ya kazi walizofanya hata sirobo. Pia wameona haifai kutunzwa heshima ya Bwana au Sharifu(Sir), wakati wamepewa duniani baada yake kwa kazi ambazo sikubwa.Na pia hawezi kupewa Bwana, Fundi, Stadi, Mjuzi (Master),cheo cha mwisho kabisa ambacho kibinadamu watu wanapeanatena bila lolote wala chochote. Basi mahakama ya waamuziwangempa cheo wakifikiriacho wao kua kingemfaa kwa kazialioifanya.24.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!