12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

“…Tuwalishe (tuwaruzuku) ambao Mwenyezi Munguangependa angewalisha yeye Mwenyewe…?”.Sisi hatutaraji kua hivo, lakini kama ni wapinzani basi mtu siangepinga suala la “Bwana” kwa Bwana Mtume SAW, lakiniangepata nafasi nzuri kutaka kusemea ibada ya kulizunguka jiwe, nakwenda mbio baina Safaa na Marwa, kusimama Arafa na jua kalilote lile pale ni kama upumbavu tu, na kufunga sio lazima, ilainapotokea shida ya uhaba wa chakula, basi watu wanawezakufunga ili kusevu chakula kisiishe haraka.Malinganisho:1. Inaaminika kua Bwana Mtume Muhammad SAW alizidiuzuri kuliko Naby Yusuf AS tafauti yao ni kwamba uzuriwa Bwana Mtume SAW hakuweza kutamanika. Lakini leo,lau utamnasibisha Bwana Mtume Muhammad SAW naMalaika, na lau ni kweli amewazidi Malaika eti utaambiwasi shirki tu bali ni kufru!.2. Dua ya Bwana Mtume SAW kwetu ni muhimu mno mbeleya Mnyezi Mungu kwa ukurba na kujibiwa, chambulecho<strong>Al</strong> Habib Seyyid Umar:“Huwezi kuondoka tu umwambie Mnyezi MunguAstaghfiru Llah Sharti wende kwa Mtume,umwambie nimekuja ya Rasulullah niombeekwa Mnyezi Mungu”. \Sisi hatukupewa cheo, na daraja kama hiyo.3. Katika Surat Anbiya 21:3 makafiri walikaa kandowakanong`onezana kwa siri, kusema: “A! Muhammad ninani, mtu tu kama wewe!”.4. Katika sifa za Bwana Mtume SAW zilivoandikwa kwenyeBiblia. Ameonyeshwa wazi wazi kua yey ni Mfalme wawafalme, Bwana wa mabwana!.Sisi eti sifa hizo hatikubaliani nazo kwa sababu ni Shirki.16.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!