12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

“Haamini mmoja wenu yeyote mpaka niwe mimi nimbora kuliko nafsi yake na mali yake …”Amesema Bwana Mtume SAW:“Anaa Seyyid auladu Adam walaa fakhar”“Mimi ni Bwana wa watoto wote wa Seyyidna Adam,wala sijifakharishi”.Ni wazi kua madam tunaamini kua alilotamka Bwana MtumeSAW halijatokana na matamanio ya nafsi yake, bali ni Wahyi – Nilazima tukubali kua – huo Ubwana alipewa na Mnyezi Mungu.Amma kwa kutokana na khulka zake amesema:“Walaa fakhar”.“Wala sijifakharishi”.Katika safari yake ya usiku mmoja ilopangwa na MnyeziMungu ili aonyeshwe baadhi ya maajabu ya Mola wake, alipoingiaEl Quds aliona Umma mkubwa. <strong>Al</strong>iambiwa na Seyyidna Jibril ASkua walikua ni Mitume yote ilotangulia. Na ilipokimiwa Salaakatangulizwa yeye kuwasalisha, ilionyesha wazi kua Cheo chake nikikubwa.Bwana Mtume SAW katika ofisi yake alikua Mfalme kamili,kwani yeye ndiye kichwa, utawala katika dola ya Kiislamu.<strong>Al</strong>ikuwa na wanavyuoni, Mawaziri, askari wa kivita, Khazina yaUmma wa Kiislamu, na Mahakama ambayo ilihukumu kwa mujibualivyoamua hakimu mkubwa Sub- hana wa Taala. Mahakama yakehaikutizama sura wala nasaba.Kutokana na tafhuma atayoipata mtu kutokana na pichaambayo ataipata kwa maelezo hayo peke yake, ataona kua hata hiyodaraja ya “Bwana” ilikua ni ndogo mno kunasibishwa nayo kamayeye.Na inapotokea mtu kupinga na kuleta aya zisolaikiana kabisakama zile za kusema eti ni: “Shirki kumtanguliza yeye katika baadhiya mambo ya Mnyezi Mungu”. Kama ya kuomba na kadhalika.Wakati anasema Mfano wa aya kama hii katika:Qur an: Suratit Tawba:9:99.13.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!