12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

tutamgeuza alikogeukia mwenyewe na tutamuingizaJahannamu napo ni mahala pabaya kabisa pa mtukurudia”.Na haya hawayaoni? Ikiwa wao ni wenye kufwata Qur anbasi yaloandikwa mwenye ya hiyo si mengine bali ni Qur an. Nahuyo Rasuli aliyetajwa hapo ni Bwana Mtume Muhammad SAW.Na wala hicho kipande kinachomwelezea yeye hajakipachika yeye –kwa sababu hakuna awezae kuleta mfano wa Qur an hata aya moja –na hiyo ni Open challenge - yeyote anaeweza kutoa hoja zake naatoke mbele aje aeleze, na aite mashahidi wake, asiyekua MnyeziMungu. Na thama hawatafanza hivyo na hawawezi na hawatawezakufanza hivyo, basi na wauchelee huo moto ambao kuni zake niwatu na mawe.Qur an:Baqara:2:23.“Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyomteremshiaMtumwa wetu (kuwa hakuteremshiwa na MwenyeziMungu), basi leteni sura moja iliyofanywa na (mtu) aliyemfano wake, na muwaite waungu wenu bighairi ya MwenyeziMungu (wakusaidieni); ikiwa mnasema kweli”.Qur an:Baqara:2:24.“Na msipofanya – na hakika hamtafanya kamwe –basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe,uliowekewa makafiri”.37.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!