12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Jambo hilo lilithibiti baadae alipofika umri wa miaka 40 lakini kamaalivotangulia kubashiri mwana wa Bi Maryam bint Imran:“Falama jaahu………..”Na kweli ndivyo alivokua.Ummul Muumini Bi Khadija Bint Khuwailid:Katika umri wa miaka 25 Bwana Mtume SAW aliacha kaziya kuchunga mbuzi kwa sababu aliajiriwa na Bi Khadija R.a kusafiri nabiashara kuelekea Sham. Kilichomvutia mno Bi Khadija R.a hakunakama ukweli na Uaminifu wa Bwana Mtume SAW .Twaba`an aliefwatana nae katika safari hiyo alietolewa naBibie awe kama mhudumu wake wa njiani – Bwana Maysara alizidishabaadhi ya maajabu aliyomuona nayo Bwana Mtume SAW, nayo piayalisaidia katika kumraghibisha Bi Khadija R.a aolewe nae.Qur an:Dhuhaa: 93:7-8.“Na akakukuta hujui kuongoza njia, akakuongoza.Na akakukuta fakiri akakutajirisha”.Bi Khadija R.a alimzidi Bwana Mtume SAW kwa miaka 15katika umri na lau baadae alioa wake kumi na moja, mmoja tu akiwando mdogo, yaani Bi Aisha Binti Seyyidna Abu-bakkaris Swidiq R.a.Lakini aliezaa nae watoto wengi ni huyo peke yake.Bi Khadija alibahatiwa watoto sita wawili wanaume; BwanaAbdallah na Qasim, na wanne wanawake: Bi Zaynab, Bi Rukiya BiFatmatiz Zahrai (hilo Zahrai kwa maana alieng`aa kwa kufanza Ibada –Rakaa alfu moj (1000) za Sunna kila siku mpaka kufa kwake, miezi sitabaada ya baba yake 632AD); na Bi Ummu Kulthumu, ambae pamoja naBi Rukiya walijulikana kama “Nureynin Naby SAW” na SeyyidnaOthman Bin Affan R.a kwa kuwaowa mmoja baada ya mwengine - Siochanjari.Mtoto wa saba wa Bwana Mtume SAW alitokana na UmmulMuuminin Maryatil Qibtwiyya R.a na aliitwa Bwana Ibrahim.8.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!