12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

“Na atakaemuasi Mtume baada ya kumdhhirikiaUongofu na akafuata njia isiyokuwa ya Waislamututamgeuza alikogeukia mwenyewe na tutamuingizaJahannamu napo ni mahala pabaya kabisa pa mtukurudia”.Yeyote mwenye akili nzima ni lazima aone kua kabla yakuletwa Bwana Mtume SAW hakuna aliyejua lolote kuhusu sheriaza Mnyezi Mungu. Kutokana na yeye <strong>Al</strong> Mustwafa SAW ndiotumejua Shahada mbili na Kalimati Tawheed. Kusimamisha Swala,Kutoa Zakaat, Kufunga na Kuhiji Makka.Hangekuwa Bwana Mtume SAW kutubainishia juu ya mambohayo kinaga naga leo hatungeweza kuutekeleza Uislamu kwasababu Qur an haikubainisha vipi kutoa Shahada na nini cha kusemandani yake, vipi kukaa tahiyaatu na ya kusema ndani yake, vipikutoa Salaam – na nini la kufanya endapo mtu amepitiwa ndani yaSwala au amepunguza au kuzidisha jambo – na kama hayo, ambayoQur an peke yake haitoshelezi.Hayo ambayo hayakuelezwa ndani ya Qur an, baliyamebainishwa na Bwana Mtume SAW wewe huyataki!! Basiunaswali kivyako?Namna gani tutatoa Zakaa na mali ziko za namna kwa namna,pamoja na kubainishiwa, Zakaa zinatolewe Ramadhani hadiRamadhani hata kama mtu ameanza biashara miezi mitatu tu nyumaya Ramadhani; na papo atampa Muislamu jina la Pagan, Mshirikinana kadhalika. Au atatoa kwa kufwata sura za watu; na pengineasiwe na haja kabisa ya watumikiao zile Zakaa nk. Bwana MtumeSAW.Na hiyo Hijja ndo kabisa pamoja na kutajwa juu ya kutufulakini haitoshi kufahamisha vipi na namna gani. Kwa hiyo lazimapawepo haja kubwa ya kumfwata Bwana Mtume SAW. Na ambayeana muasi, basi atakua anamuasi Mnyezi Mungu, na amuasiyeMnyezi Mungu huyo si Muumini wala si Muislamu – na hukmuyake ni kukatwa kichwa.Tukirudi katika Mada kuhusu Aya ya 43 na 56 ya Suratil Ahzab,tutaona kua hakuna tofauti ya maana illa ile ya kutakiwa sisitumtakie Rehma na Amani Bwana Mtume SAW. Lakini kamaMnyezi Mungu na Malaika wanamtakia yeye (<strong>Al</strong> Mustwafa)Rehma, basi pia Mnyezi Mungu na Malaika wake wanatutakia sisiRehma sasa ugomvi unakujaje mpaka wengine wasimame kati ya34.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!