12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Qur an: <strong>Al</strong> Nahl: 16:64.“Na hatukuteremsha kitabu (hiki Qur an) isipokuwauwabainishie yale ambayo wanakhitalafiana, na(pia kiwe) uwongozi na Rehma kwa watu wanaoamini”Kwa aya hizo na nyinginezo mfano wa hiyo ni yenye kuonyeshakua ipo haja ya kuona jinsi gani alivobainisha kwetu haya ya Quran. Na hilo halipatikani ila ndani ya hadithi zake Bwana MtumeSAW ambazo zimehifadhiwa madhubuti kabisa.Na yote aliyoyasema Bwana Mtume SAW bila shakayamesemwa na yeye Mnyezi Mungu na ndo maana akatwambiakua:Qur an:An Naisa: 4:80.……“Mwenye kumtwii Mjumbe (wa Mwenyezi Munguyaani Bwana Mtume SAW) bila shaka (atakuwaamemtwii Mwenyezi Mungu…”Vile vile Mnyezi Mungu anasema katika Qur an:Qur an:An Nisa:4:115.33.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!