12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Malinganisho:1. Miaka mia sita kabla kuja kwake alishatabiriwa na baadhi yawaja wema wa Mnyezi Mungu; na pia ikiwa mdogo alitabiriwana baadhi ya Makuhani kua Mtume. Mimi na wewe hatufikiiutukufu huo hata kwa miaka michache nyuma ya kuolewawazazi wetu. Baadhi ya watukukufu walitokea kupata fursa kamahizo.2. Bwana Mtume SAW akiwa yatima alitokea kua na tabia nzuri yakupigia mfano hassa:Qur an: Ahzab:33:21.“Bila shaka mnao mfano mwema (ruwaza nzuri) kwaMtume wa Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho nakumtaja Mwenyezi Mungu sana”.Qur an: Qalam:68:4.“Na bila shaka una tabia njema”.وفان تاٌؼٍُ‏ في األِي ‏ِؼجشذا فياٌجا٘اٌيح ‏ٚاٌرأدية في اٌيرُ‏“Inakutosheleza kua katika wakati wa jahiliakama ule, apatikane mtu ana Ilmu, ilikuwa nimiujiza peke yake. Ilikuwa ni miujiza tosha”.Na kupatikana adabu katika mtoto yatima katika wakati ule,ambapo watu walikuwa na ubeberu na itikadi za kuua binati zao10.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!