12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Qur an: 93:6.“Hakukukuta yatima, akakupa makazi Mazuri”.Sifa zote nzuri zinazohusika na tabia nzuri, kama vileUaminifu, Upole, Subira, Usamehevu, Ukarimu, na nyinginezo.Ndiyo akaweza kutatuwa kabla hajapewa Utume tatizo kubwalililoibuka wakati Makureysh walipotaka kuliweka “Jiwe TakatifuJeusi” mahala pake walipomaliza kukarabati Msikiti Mtukufu waMakka ilibaki kidogo wapigane. Hatimaye wakakubaliana kuwaaliweke Mtume Muhammad (SAW) kutokana alikuwa ni mtumuaminifu.Uaminifu wake ndiyo sifa ya pekee aliyompendeza Ummul<strong>Al</strong> Muuminin bi Khadija aliyemuowa kutokana na sifa hiyo,alipomfanyiya biashara zake na kumpatiya faida nyingi sana.Amesema Mwenyeezi Mungu katika Qurani Takatifu:Qur an:93:8.“Na akakukuta fakiri akakutajirisha”.Bwana Zayd bin Harithah bin Sherhabiyl (R.a) ni Swahabawake aliyemleya mwenyewe Bwana Mtume (SAW) nyumbanikwake kabla ya Uislamu. <strong>Al</strong>itekwa nyara bado mdogo na Majangiliwa Baniy Kasr mjini Makka. Kabla Bwana Mtume (SAW)hajapewa utume, na anaishi na mkewe wa pekee Bibi Khadija (R.a).Majangili hao wakamuuza katika soko ya watumwa ya mjini Makkailiyoitwa Ukaadh, na aliyemnunua ni Bwana Hakiym bin Hizaambin Khuweyliyd na kumpa shangazi yake, Bibi Khadija bintiKhuweyliyd mke wa Bwana Mtume (SAW) na mama wa watotowake.Baba yake mzazi Zayd anamtafuta mji wote wa Makkakijana wake aliyetekwa nyara na kuuzwa kama mtumwa naakanunuliwa na kuishi nyumbani kwa kwa Bwana Mtume (SAW)kabla hajapewa Utume na baada ya kupewa Utume. <strong>Al</strong>ipojulishwakuwa yupo nyumbani kwa Bwana Mtume Muhammad (SAW)anaishi naye, na watu wanamwita Zayd bin Muhammad - NaBwana Mtume (SAW) hawakatalii hivo - Isipokuwa Mwenyeeziv.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!