12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

“Na katika Mabedui hao wako wanaomuaminiMwenyezi Mungu na siku ya mwisho, na wanaitakidikuwa wanayoyatoa ndiyo (sababu za)kuwasogeza kwa Mwenyezi Mungu, na za (kupatia)Dua za mitume. Sikieni! Hakika hayo ni(kweli kuwa ni) mambo ya kuwasogeza kwaMnyezi Mungu atawaingiza katika Rehma yake.Bila shaka Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe(na) mwingi wa kurehemu”.Na katika sura hiyo hiyo:Qur an: Suratit Tawba:9:103.“Chukua swadaka katika mali zao uwasafishe nakuwatakasa kwa ajili ya hizo (Swadaka zao) nakuwataja kwa vizuri (mbele yangu) na uwaombeedua–Hakika kuwaombea kwako kutawapa utulivu(watengenekewe), na Mwenyezi Mungu ndiye asikiayena ajuaye”.Basi itaonyesha kule kukanusha kwake kumeambatana na jambojingine kabisa. Na si lingine, isipokuwa ni chuki.Basi hata hastahi kupaza sauti yake katika kusema: “ A!Muhammad ni mtu tu kama wewe!” Wale makafiri waliotamkamaneno kama hayo waliingia faragha kwa siri, kama ilivotokeakatika Surati:14.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!