12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Utukufu wa Bwana Mtume MuhammadSAW:اٌحّذ هلل رب اٌؼاٌّيٓ‏ اٌذٜ‏ ارطً‏ ‏ٔثيٕا ‏ِحّذ رحّح ‏ٌٍؼاٌّيٓ‏‏ٚجؼً‏ اِرٗ‏ خيز اِح أخزجد ‏ٌٍٕاص أجّؼيٓ.‏ ثُ‏ اٌصالج‏ٚاٌظالَ‏ػٍيٗ‏ ‏)خيز خٍك هللا(‏ ‏ٚاٌٗ‏ ‏ٚصحثٗ‏ ٚ )ِٓ ‏ٚاالٖ(‏ اٌراتؼيٓ.‏Amma baad.Utukufu wa Bwana Mtume Muhammad SAW hauhitajimaelezo yenye sherehe ndefu, kwani uko wazi kabbisa, labda kwamtu alopungukiwa na Imani ndani ya moyo wake na kadhalikamahaba.Tungependa kwa umoja wetu tuzungumzie juu ya aya mbili tokaSuratil Ahzab.Ya kwanza:Qur an: Ahzab:33:43.“Yeye (Mwenyezi Mungu) ndiye anayekurehemuni, naMalaika wake (wanakuombeeni dua) ili kukutoeni katikagiza (kwa kukupelekeni) katika nuru, naye ni mwenyekuwarehemu sana Waislamu”.Inataka mtu azingatie sana aweze hata kujiuliza yeye ana kitugani muhimu mno hata afikie Mnyezi Mungu, Kumswalia - Yaanikumrehemu- na Malaika wa Mnyezi Mungu washughulikekumuombea dua ili atolewe kwenye giza aekwe kwenye Nuru? Nikwa kitu gani kikubwa mno hassa hata ufanyiwe yote hayo? Unapembe za chuma, una panga za Radi?27.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!