12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mkombozi wa umma ulimwenguni:Mtu yeyote mja mwenye akili akikaa kitako kimya kwatadabburi ilo nzito kidogo kuyapima mambo jinsi yalivokuwa miaka1500 iliyopita hatakosa kuona picha yenye mifano kama hiiifwatayo:-Kijana katika nyumba yake anao labda wake watano, wanne,watatu au wawili. Kama ni watatu, basi mmoja ni mama yake mzazina wawili ni mama zake wa kambo. Kama kawaida labdaungemuuliza, angekwambia: “Hawa wake zangu nimewarithi kwababa yangu”.Mmoja kati ya wawili amejifungua mototo wa kike, naeamembeba akiwa na jembe anakwenda kumzika mzima mzima. Nakila aliemuona basi, licha ya kumkongowea lakini wanamsifiakamwe kua hatua aloichukua ni ya kikabaila na kiungwana hasa.Masikini ameenda kukopa kwa mwenye kujiweza na bintiyake kigori, anamwacha pale hadi ambapo angelipa ile deni; katikajumla ya shuruti, ni ile ya riba kiasi maalumu kila alipochelewakulisalimisha deni lile.Mwingine mwenye nguvu amemtwaa kwa nguvu mdeni wakealiechelewa kumlipa mpaka zikamfikia mara tatu, nne juu, kwahivyo amepitisha hukumu kumuuza hadharani.Mtu amefikwa na balaa yeyote ile, anajitupa chini ya sanamula bahati mbaya akiliomba limuondoshee au lisimamishe mikosiyake juu yake, na alipoondoka hapo aliondoka na imani mpya kuamambo yamekwisha.Upande mwingine kundi la watu wakiwa na furaha,wamemtwaa binti mzuri, wamemvalisha vizuri, wamempandishajuu ya farasi aliepambwa vile vile, wanamsindikiza binti huyokumtoa muhanga kwa mungu mkubwa. Hapo penye sanamu pakiwandio mwisho wa maandamano, yupo mchinjaji maalumu; hiyo ndiyokazi yake, kila mwaka. Baada ya waadhi mfupi msichana yulehulazwa kifudi fudi chini ya sanamu na kukatwa kichwa chake kwapanga kali sana nyuma ya shingo yake.Mandhari ya mgeni akitanga tanga kutafuta ambaeangemsaidia kupata mali yake aloiweka amana kwa mzalendo.Mwenye nguvu ameamua kumuua dhaifu, kwa sababu yakumvunjia hishma yake. Labda yule dhaifu anayo haki yake kwake,21.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!