12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

أػطيد ػٍّا شرا فؼٍُ‏ اِزخ أْ‏ اػٍُ‏ إٌاص وافح ‏ٚػٍُ‏ اِزخاْ‏ أػٍُ‏ اٌخاص ‏ٚػٍُ‏ أِزخ أْ‏ ال اػٍُ‏ احادا“Nimepewa Ilmu koche koche, kuna Ilmu nieambiwaniwafundishe watu wote, kuna Ilmu nimeambiwaniwafundishe watu mahsusi na kuna Ilmu nimeambiwanisimfundishe mtu yeyote.”Inatutosha kuona mfano wa Ilmu kubwa alopewa katika hadithizake tu. Mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu katika mambo yahadithi, Imamu Mohamed bin Ismail <strong>Al</strong>-Bukhar, aliekuepo bainamwaka 194 hadi 256 – (1215 - 1277AD), kwa jitihada yakealikusanya kiasi cha hadithi laki tatu (300,000) kati ya hizo,alizihifadhi laki (200,000). Katika juzuu kumi za vitabu vyake“Sahihi Bukhari” ameweka hadithi <strong>Al</strong>fu saba mia mbili na sabinina tano (7275) ambazo hazina shaka kabisa (Most anthentic ones).Wakati Imam Bukhari alihifadhi hadithi laki mbili, sisi wa kawaidatumo katika kuzitapia arubaini tu, zilosemwa kua ambayeatazihifadhi; basi huenda akaingizwa peponi; na papo nanga zingalizikikokota (Tazama Imam Nawawy- 40 ambacho vijana waUniversity – Dar es Salaam wamefanza jitihada kubwa kukifasirikwa lugha ya Kiswahili).Hatuna njia nyingine ya kuzidisha Ilmu baada ile alotuusianayo Bwana Mtume SAW:وٓ‏ ػاٌّا أٚ‏ ‏ِرؼٍّا اٚ‏ ‏ِظرّؼا ‏ٚالذىٓ‏ را تؼا فرٍٙه“Kuwa mwenye Ilmu, au mtafuta Ilmu, au MsikilizajiIlmu, Usiwe mtu wa nne utahiliki”Kama ile ya kuitumia (kuifanzia majaribio – Experimentation)kwani ndipo Mnyezi Mungu anapoingia kati ya mja akimfunuliazaidi:ِٓ ػًّ‏ تّا ػٍُ‏ ‏ٚرثٗ‏ هللا ػٍّا ٌُ يؼٍُ‏“Mwenye kuifanzia kazi Ilmu aloijua Mnyezi Munguhumrithisha Ilmu hakua akiijua”.Lakini ajabu ni kwamba baada ya Bwana Mtume SAWkutuelezahayo, bado tupo wengi wenye itikadi ziso na msingi4.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!