ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
105

katika koti pia. Na pili aondolewe mamlakani kwa njia ya impeachment.

Parliament – ama Bunge – Bunge iwe ndiye ina nguvu katika serikali yote, kusiwe na mkono mwingine wa serikali ulio na nguvu

kuliko bunge. Pia, bunge ipewe mamlaka ya kuunda sheria. Tatu, bunge uwezo wake wakugawa cake ya taifa, uifadhiwe, na

iongezwe nguvu hiyo kwa njia kando. Nne, mbunge aliyechaguliwa, awe mtu wa kutunza mali ya uma kutoka shinani mpaka

katika gazi za kitaifa. Vipi Asipofanya hivyo, watu wawe na uwezo wa kumuita tena na kumufua mamlaka na kumchagua

mwingine. Tano, katika kuongeza kodi, bunge lazima iulizwe maoni yake, idhibitishe jambo hilo wanacommissioner lakini sio

serikali kukaa na kuamua kwamba lazima wapandishe kodi. Tukichagua wambunge wetu kama wananchi wa kawaida, Rais

asikumbaliwe kuchagua mawaziri kutoka kudi hilo la wambunge. Achague mawaziri kutoka nje kwa sababu, akiwachagua

hawa watakoma kutuwakilisha na kuakilisha matako yetu katika bunge.

Kila mtu awe amefikisha kiwango cha elimu cha O’ level kiwango hicho, kutoka form one mpaka form 4 na akapita vizuri na

grade ya B- na kwenda mbele ama mfumo ukibandalika, grade ambayo inafanana na hiyo.

Watumishi wa uma wakubaliwe pia kuacha kazi kwa muda na kuwania viti vya siasa. Isiwe, tunawafungia viongozi wazuri

katika kuanjiri kazi za serikali, hata kama wanaendelea kuongoza nchi kwa njia isiofaa. Wakimaliza, kura akishindwa atarudi

katika kazi yake.

Pia mishahara ya bunge, bunge lijiongezea mishahara, bunge yetu ya Kenya, kuwe na tume ya kushughulikia mishahara ya bunge

na pia marupurupu yao na bima zao katika insurance companies kwa sababu kila MP sasa, ama assistant minister anapata

mshahara wa zaidi ya nusu million na marupurupu na bina ambazo ni za million kumi kila mmoja. Haya, katika upande wa

sheria, Attorney General ambaye amechukua majukumu matatu, moja, kuwa ndiye mshauli mkuu wa serikali kisheria, na pia

ndiye director wa masitaka na tatu ni mmoja wa wabunge ambaye ana uwezo wa kufuatilisha ijadara katika bunge. Majukumu

haya matatu hayawezi kubebwa na mtu mmoja, lazima njia itafutwe ya kumpatia Attorney General jukumu moja tu kama na

Director wa prosector ama na mshauli wa serikali kisheria, ama ni mmoja wa wabunge. Pili, mtu hutumia pesa nyingi sana

katika kuhakikisha kwamba amepata haki yake katika koti. Ili kuepukana na

Com. Abubakar: Jaribu kumalizia sasa.

Patrick Kwiria: Namalizia, kama namalizia basi nitakimbia.

Sheria – vyama vya siasa ziwe vichache. Na kuna njia, katika kila eneo, kama ni Eastern Province, kama ni Western area,

kama ni Northern Kenya, kama ni South kuwe na chama kimoja kilicho na wafuazi wengi upande huo, na kikubaliwe na sheria

kuandikishwa kama chama cha siasa, ili group ya viyama vya siasa isiwepo.

Masomo – tuwe na mfumo wa masomo, ambao unafaida katika maisha ya watu binafsi na maisha ya taifa nzima kwa sababu

kuna wengi wamesoma lakini masomo waliosoma, hayatufai, kama watu binafsi ama kama taifa. Kwanza mfumo wa elimu,

uhakikishe kwamba umejenga umoja katika nchi hii ili uwe umehakikisha kwamba, umetoa kisazi ambacho kinapenda ukweli na

si kizazi cha watu ambao ni wafisandi, kuna njia. Tatu, masomo haya yanadhalimu wazazi pesa nyingi sana kabla watoto wao

hawajamaliza shule, kila wakati vitabu vinabadilishwa kwa nia ambayo isiojulikana. Kitabu kimocha kinaongezwa topic moja