ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
121

Patricio Miriti: Na manto ja maingi kinya kuurwa.

Translator: Na mambo mengi ata akiianza kupigwa,

Patricio Miriti: Akaorwa imuntu akauga kwa polisi irio mantu ja thoka bure. Ni untu bunga mtu uria umuurire arina

mbesha niwe ukathekwa na uu arekerwe.

Translator: Anaseme, yeye hata akipigwa na mtu, halafu aende a-report kwa police, ndio shida zaidi, juu sasa yule mtu

amempiga pengine ako na pesa, yeye ndiye ataachwa huko, yule amempiga aachiliwe.

Patricio Miriti: Na riu niyo thiina iria tukuga thirikari imenyere muno.

Translator: Na sasa hiyo ndio shida tunasema serekali iangalie sana.

Patricio Miriti: Kwou inya yetu ni thirikari.

Translator: Sasa nguvu yetu, ni serikali,

Patricio Miriti: Na ameru mbere, ibaugaga

Translator: Na wameru mbeleni, walikuwa wanasema,

Patricio Miriti: Ameru tene baugaga, mkuru akura achoke nyuma, nthaka imumenyere. Nande thirikari imenyere

nthaka.

Translator: Kwa wameru zamani alikuwa amesema, mzee akizeeka, yeye hurudi nyuma, vijana wanakuwa mbele ndio

wamchunge. Sasa hio serikali iwachunge hawa vijana.

Patricio Miriti: Na maoni yangu Bwana Commissioner, ni hiyo tu. Thank you.

Com. Abubakar: Asante sana, Mungu akumbaliki asante sana – tafadhali andika jina pale. Nilisema Mugambi Mbaaraya,

hayuko Kanampio Rugoji, Clearntin Ntoriburu, Charles Rimiri,

Charles Rimiri: Thank you Mr. Commissioner, I’m Charles Rimiri, Eologian and HIV AIDS student from Nairobi Jomo

Kenyatta University. I am here to give the following proposals. We look that the government we have today, has some

______ issues and ethical issues which make it difficulty to find out this disease which is HIV AIDS, so I propose that those

ethical issues should be reviewed. There should be no confidentiality in the code of conduct in the doctors conduct. There

should also be that the family concerned over who has been found to be infected with the virus, should be exposed so that they

can know how to manage the situation to prevent further infection.

The other thing I have to put forward, this time is that, for the case of the governance, we look that we have one parliament, but