ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
91

Crowd: Ndio.

Com. Abubakar: Endelea mzee.

Musa Kiria: iu niyo ngugi ya njuri ncheke ya kuthikirie magamba ja miunda.

Translator: Hiyo ndio kazi ya njurincheke kupeana hofu na kuangalia macase ya mashamba.

Musa Kiria: Na ukethrwa uthithitie makosa na ukanyua mumma jwomba kukuthiria.

Translator: Na sasa ukiwa umekosea, ukikula hio oath, inaweza kukuumiza.

Musa Kiria: Na mwene miunda agachokerwa

Translator: Na mwenye shamba anarudishiwa.

Musa Kiria: Ya jairi itwe tutegaga manto ja ana.

Translator: Ya pili sio ndiyo tunaangalia mambo ya watoto

Musa Kiria: Igita mwana wa muthaka akekira mwana wa mwari eiu.

Translator: Zamani kama kijana anampeya msichana mtoto,

Musa Kiria: Nomwanka akaria na dume.

Translator: lazima angelipa na dume.

Musa Kiria: Na arere mwana uu mwanka akinyie miaka iria ikwendeka.

Translator: Na amlee yule mtoto mpaka afikishe umri unatakikana.

Musa Kiria: Ria jairi

Translator: Ya pili,

Musa Kiria: Manatone ja Majni na Miitu

Translator: Upande wa maji na vizima na misitu

Musa Kiria: Njuri ncheke nio imenyagerera

Translator: Njurincheke ndio ilikuwa inashughulika na kutunza

Musa Kiria: Na tha iji niteka ithiritwe.