ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
136

anatumia sheria kuserve wananchi, law executors, yeyote atapatikana aweze akatumia sheria mpaka zitakuwa zimeandikwa na

wananchi wa Kenya awe punished severely. Kama ni corruption openly the public, kama ni kula mali ya wananchi na

kadhalika, huyo mtu aadhibiwe vilivyo. Ndio unaona, ya pili inaenda chebaba na mahitaji ya mwananchi, mwananchi anataka

kuwa na uhuru wakujitetea akiona sheria yake, aliyepewa na Mungu imekataliwa, haipeanwi anavyotakikana, mwananchi wa

Kenya inambidi kwa sababu yeye ndiye supreme law maker atoke akitaka kulia alie akitaka kuimba aimbe, atoke barabarani,

atoke kanisani mahari popote, na aachiliwe aeleze kwa nini anateta, bora tu atete peacefully. Peaceful demonstration is a good

tool of achieving human rights. Na nitatitisha kwamba, groups, Kenya ina groups, wana groups nyingi kabisa ambapo hata pia

wanaelewa sheria, hawa watu wakiona sheria yao imekanyangwa, wako na right ya disobedience. Wananchi waachiliwe

wafanye disobedience especially the civils and the teachers should be allowed to extend the disobedient to awaken the ignorant

chief, the ignorant DO, the ignorant government so that they can fear to calm the problem of dictatorship here and there. Na

kwa hayo machache, naona viongozi wa serikali, wote washikilie sheria, yule atashidwa, aadhibiwe, sio kesho, papo hapo. Na

hii maneno mtu si guilty, hati mtu hana makosa mpaka koti ikaseme ana makosa, ata hiyo ni mbaya ni chombo cha ukoloni.

Ningetititisha hata kwamba, kuwe na viwango vya mtu kuambiwa hana makosa na ana makosa. Makosa mengine ni makosa

kama ukiuua mtu ni makosa, mtu akienda koti asirudi hapa nyumbani kuambiwa hakufanya nini Makosa. Alifanya makosa ya

kuua, alifanya makosa ya kuimba mali ya watu, hiyo ndio nataka kuwaamba wanacommissioners leo the punishment should be

categolized and the punishment given to peak the crime committed. Thank you.

Com. Ratanya: Asante sana Bwana headmaster, inaonekana sasa ni kama tumemaliza, na nitamuuliza commissioner

mwenzangu sasa achukuwe sasa aendelee.

Com. Abubakar: Asante sana commissioner Ratanya, mimi kwanza kabisa ningependa kutoa shukurani zetu kwa wananchi

watukufu mliofika hapa, kwa wingi wenu na kutoa maoni yenu na kuhakikishia kwamba maoni haya yatatumika kama mzingi wa

kujenga katiba mpya, na tumekuwa tukizunguka katika sehemu zingine za wakilizaji bungeni, na mikoa mingine hapa nchini,

tushamaliza kusanya maoni mkoa wakati tumemaliza kusanya maoni mkoa wa pwani, sasa tuko, tume iko katika mkoa wa

mashariki, tume nzima iko hapa wingine wako pande ile ya ukambani, ya huku Embu, na huku, tunakusanya maoni, ikifikia

ijumaa ijayo, tutakuwa tumemaliza mkoa wenu halafu tuende, Nairobi tumefanya nusu, tumalize nusu hiyo tunafanya kazi namna

hiyo. Ningependa kutoa shukulani kubwa na nyingi, kwa wale wanakamati ya tume kulekebisha katiba katika sehemu hiii kwa

kufanya kazi kwa bidiii sana, na watu wengi wameanza kupata habari hizi, na leo wameweza kufika hapa na tukamuona. Kama

nilivyo sema saa ile, hii sio mara yako ya mwisho, ikiwa bado una maoni yako, unataka kuiandika, ututumie mswada kabla ya

kufika mwezi wa nane, kupitia katika office yetu ya msilikishi wetu au kututumia sisi moja kwa moja katika saduku letu la posta,

au kutuletea kwa mkono ukiwa Nairobi, hayo yote yanakumbalika lakini ufanye hima isifike mwezi wa nane.

Kitu kingine ambacho ningependa kusema ni kumshukuru saana mshirikishi wetu Bwana Kimathi kwa kufanya kazi kwa bidii

sana natumeona amefanya kazi na watu hapa na ninataka aendelee na kazi ya namna hiyo ndio wananchi waweze kushiriki

katika kubadirisha katiba yao.