ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
131

2. Ningetaka kusema ya kwamba, tuwe na regional system of government, sababu, kama wakati huu,

wanacommissioner, kwa heshima, hata nyinyi mliona kule sisi tunaishi, natungetaka kutuma nyinyi, mkirudi Nairobi,

muambie serikali pia kuna watu wake wengine wanaishi pande hii, sababu sijui kama serikali inajua. Natungetaka

kuwa na serikali ambao iko karibu na watu, kama serikali iko Nairobi, saa ingine mambo yanaharibika hapa, na

hawajui kama watu wanalia usiku na mchana juu ya security, barabara mbaya, ukimwi, na kadhalika, taabu hapa ni

mingi lakini kirio chetu hakuna mtu anayesikia. Na tukiwa na regional government, tungetaka equitable distribution

of resources. Na ni serikali ya regional ambayo ingeweka those resources at the disposal of the inhabitants of that

area. Na ningetaka kusema ya kwamba, alongside with that, tungetaka mtu binafsi, kama wewe commissioner ama

yule mama yuko hapa ama kijana ama nani awe na ile wanaita kisheria __________ ama power ya kuweka case,

kushtaki serikali saa ile serikali imefanya maofu, for example sisi, mvua sasa inakuja sababu misitu imeisha, kwa

kuuzwa na serikali, watu wote wanaenda, manyumba yetu yanaenda, maporomoko ndio hayo, lakini mimi

nikichukua hatua, to sue the government, I’m told I have no locas stand, and my interest are at stake.

3. Mr. Commissioner, I would like to say of course no taxation without services, no taxation whatsoever without

services, na tungetaka serikali iwe accountable. Ile pesa wananchi wanatoa, wawe ni kwa duka ukienda kununua

kitu kidogo, kodi iko juu yake, ukiandikwa, lazima uwe na kitu inaitwa Pay As You Earn, wengine wanasema ni

pay as you eat lakini hata hakuna kitu unakula hapo. Natungetaka serikali iwe accountable hata tumesikia pesa ya

harambee itakuwa audited, pesa ya mashule itakuwa audited, hata serikali iwe audited na sisi ndio wale tunalipa

kodi tuwe tunasomewa balance sheet kila mwaka, kuambiwa kwa mwaka huu watu wa Tigania wametoa pesa gapi

kwa serikali, na serikali imefanya kazi gani na hiyo pesa yetu. Na kama imeenda kwenu Bwana commissioner, sijui

unatoka wapi, pesa yetu tuwe mwananchi anaweza amuka aseme pesa yetu irudishwe hapa sababu sisi ndio tulitoa,

na tunakufa jaa.

4. Fourth point Mr. Commissioner, tunasema, give power to the people. Sisi wanacommissioner, hatuoni sababu gani

mtu anatoka Nairobi ati anakuja kusema sasa location na location hii mpaka yake ni hapa na pale, na hajui, hajui

kabisa, give power to the people so that local issues are managed by the local people, for example, boundaries of

land iwe ni ya province, iwe ni ya district, iwe ni ya location ama kata, iwe ni ya kijiji, let local people be able to sort

out their problems. Let there be structures that can facilitate local people to act to solve local conflict in that order

and also give local people the power to safe our forests. Let forest management be with the people, msitu wetu ule

uko hapa, watu wa Nairobi, saa ile kuna mapolomoko, they are not affected. Na mi nasema hivi …… end of side

A. tape 5

Kusikia hiyo maneno ikichukuliwa sababu hiyo ni uhai wetu.

5. Mr. Commissioner tungetaka re-definition, tungetaka kazi ya wajumbe wabunge ifafanuliwe vizuri, na kazi ya

wajumbe wa bunge, ni katika constituency, ile kazi kubwa, kazi ile dogo, ni kule kwa parliament, na kama Kaparo,

ama speaker mwingine, ako na register kuona mjumbe wa bunge ameingia bunge na anaweka tick kama mwalimu

na wanafunzi, ili walipwe mshahara na yule hakuji bunge, ananyimwa mshahara sababu ile kazi mingi ni kwa

constituency, tungetaka pia register ama namna itafutwe, register bill katika constituency. Na namna ya kumark ya