05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

90

Paul M’tuambutu: ya tano, mi naendelea mahari pengine, naondoka hiyo,

Com. Abubakar: aaaa, tulijadiriana vizuri mzee wangu, mda wako umekwisha, kuna watu wengi sana wakuzungumza.

Paul M’tuambutu: Iko moja tu Bwana commissioner,

Com. Abubakar: goja goja sikiza mzee wangu, mi nakuhesimu sana unisikize na mimi. Hiyo ndio hio ya mwisho. Hiyo ya tano

tumalizie hapa. Ni sawa.

Paul M’tuambutu: Okey

Com. Abubakar: Haya asante mzee wangu.

Paul M’tuambutu: Haya, ya tano ile nina sema, sisi tuna taabu sana nyumbani, ninaomba serikali ya wilaya, chief, sub-chief,

DO, DC sababu hawa ndio wanakaa kijijini na wanajua mambo vile inaendelea, wapewe jukumu ya kushika mkosaji, akawa

na pass ya kumpeleka kotini bila kwenda kupiga report kwa police. Kwa hayo machache tu Bwana commissioner.

Com. Abubakar: Asante sana Mzee wangu asante sana, tafadhali uje hapa mzee uandikishe kwenye register kwamba

umetoa maoni. Asante sana. Musa Kirigia, karibu mzee, na tunapeana mda kama yule alipokuwa akisema mzee, ukiona

ana….. Asante mzee chukua microphone utaje jina lako halafu uanze.

Musa Kiria: Naitwa Musa Kiria. Sisi wazee wa Njurincheke, mashamba ni sisi tulikuwa tunafanyia na sababu ni hii. Tulikuwa

tunapeana zenge

Com. Abubakar: Subiri kidogo mzee, naomba watu waliopo hapo nje, waache kupiga kelele tafadhali, na ikiwa wanataka

kuzungumza kwa sauti kubwa, waende mbali na hapa ndio kazi kama inavyo takikana. Na hili litakuwa ombi la mwisho

tafadhali.

Endelea mzee wangu.

Musa Kiria: Ariuga Njuri cheke nio igwaterete manto ja miunda jonthe.

Translator: Anasema njurincheke ndio inashikilia mashughuli ya shamba yote.

Musa Kiria: Njuri cheke inainya ya kuthiria magamba ja miunda

Translator: Njurincheke ina jukumu ya kutekeleza haki kuhusu macase ya mashamba.

Com. Abubakar: Goja mzee, bona huna furaha kijana, huna furaha kwa nini. Ebu niambie amesema nini

Speaker: Amesema wakati wao wanaamua case, kutoka kwa nani na wa (tape unclear)

Com. Abubakar: Kwa hivyo mzee anasema, kwa mira ya wameru, Njurincheke inapokata case za mashamba, huwa wanatoa

kiwapo Na hicho kiapo, kinafanya kazi kuliko kufanya mahakamani, mnasema hivyo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!