ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
108

Godfrey Borong’a: Okey.

18. The constitution should provide for a solution of societies, kwa mfano sasa mimi ni Chairman wa Huyu Muungano

Self Help Group. When we registered, we registered with the social services but if we are to part because of

differences, property we will have acquired will be left to those who will be in the office. Therefore, the government

should provide a better way of resolving the societies.

Com. Abubakar: Thank you, thank you very much, tafadhali andika jina kwenya register. Jason Mimanja,

Jason Kamanja: Asante Bwana Commissioner, yangu ni machache tu ni naye. Moja kitu kile, mi naitwa Jason Kamanja, kile

tunataka, kuna sisi watu wakulima wa kahawa, kuna taabu nyingi sana. Kwa sababu iko pesa ilipeanwa na ma-cooperative, ina

miaka mingi, kwa hivyo ikiwezekana, serikali itoe hio pesa, kama vile ilitoa pesa ile ya AFC. Kwa sababu ikitupa pesa

wakulima sasa watarundi kwa kahawa na wakulima watapata pesa kwa njia sawasawa. Kwa hivyo, hiyo ikiwezekana, kwa

sababu katika mikoa miwili, wakulima wa kahawa tuna taabu kama hiyo. Hapo serikali iangalie.

Ingine, kitu ya mhimu sana, mambo ya makanisa, kanisa pahali yote iangaliwe na wawe na uhuru wa kuambudu, kwa hii katiba

yetu, makanisa iwe na uhuru wa kuambudu.

Ingine, ni mambo ya land. Kulingana na vile viongozi wengine wanasema, mambo ya land, imeaanza hapa 1966, haijamalizika.

Kwa hivyo tunataka serikali ikiwezekana, iangalie ni mambo gani inaweza kusaidia mambo ya land ikamalizika watu wakapata

title deed. Kwa hivyo hatujui tunaelekea wapi kwa mambo ya mashamba kwa sababu hata mtu akiwa na title deed, hiyo

shamba si yake. Hapo tunasema serikali ituangalie.

Ingine ni mambo kama ya Njurincheke, vile wazee wanasema, kama Njurincheke iwe na power kwa sababu hata mbeleni

ilikuwa na power, iwe na power ya kuangalia mambo ya hii loan kwa sababu mtu angepiga senge, hata kama kichaka alipatiwa

kichaka, watu wa land watoe hio shamba, ipatiwe mwenyewe, yule alipiga senge ya ________. Kwa hivyo hapo nao

tunasema wazee wa Njurincheke wawe na nguvu ya kuangalia mambo ya mashamba.

Ingine ni mambo ya misitu Bwana commissioner, misitu iangaliwe na serikali kwa sababu sasa masingira yetu imeharibika. Na

tunasema serikali saa zingine iangaliwe, kwa misitu yetu isimalizike. Kwa hiyo machache tunasema, mimi nasema Asante kwa

nyinyi, kwa hiyo maoni yangu kidogo iangaliwe.

Com. Abubakar: Asante sana mzee, tafadhali andika jina pale. Na Garvason Mathew. Garvason Mathew, naona hapa

kwamba wewe una written memorandum, sasa watu wa written memorandum, usitusomee kila kitu kiko pale, unachagua ile

mhimu tu unaguzia, tutasoma wenyewe, Niko karibu kuaanza kupungua muda, na hatutaki hivyo, twendelee na hiyo dakika tano

lakini tukizitumia vizuri wote tutapata nafasi. Tusianze kutelemshia watu wakati, maana ke hawajazungumza. Asante.

Garvason Mathew: Sawa Bwana Commissioner, yangu nitaenda biu biu mpaka tuone kila mtu amefika hapa. Mimi ni