05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

132

kwamba huyo mtu, mjumbe amefanya kazi na wananchi wamesema ndio siku hii na hii amefanya kazi, iwe hapo.

Na kama mtu haedi kwa constituency yake, iwe pia ni kama vile haedi kwa parliament hakuna mshahara hapo ama

atolewe mwingine awe hapo.

6. Jambo la sita, ningetaka kusema Bwana commissioner, basic needs are basic rights of people. Natungetaka sifa

yetu itabue basic needs kama chakula, nguo, land, afya, na shule ikiwa ni basic right na kama hakuna hiyo serikali

tunaweza kupeleka koti kama hakuna. Na tungetaka constituency kuwe na section ya bill of rights where basic

needs inakuwa ni basic rights, na kila mtoto katika Kenya hii awe na haki na serikali impeleke shule, na ilipe kama

mama yake ama baba yake hawezi kulipa au la, mpaka kiwango fulani, ili kila mtu awe anaweza kujisaidia.

7. Jambo la saba ni mambo ya land. Ardhi, mambo ya land katika Kenya, tunajua kuna ile ardhi ambaye iliimbiwa na

mkoloni na hiyo ardhi mkoloni alichoma manyumba ya watu, akachukua ardhi, hiyo ardhi tungetaka katika katiba

ijulikane ya kwamba iliimbiwa na mambo ya kusema sisi tununue ile ardhi hatutaki. Mimi nikija kwako, nikifuja

nyumba yako, nije hiyo kanzo yako, Bwana commissioner, halafu kesho yake, nikwambie sasa we kuja nunua hii

nikurudishie, hiyo ni halamu. Asante

Com. Abubakar: Sasa mzee wangu, karibu kukukatiza, nimekupa muda mreefu kwa sababu wewe ndiye mtu wa mwisho

katika orodha yangu, so what you need to do, is to give us your specific recommendations, we understand what you are saying,

you are saying that land that was appropriated by the colonial forces should be returned to the people without payment. That’s

what you are saying

Kirianki M’imanyara: Thank you sir, thank you sir I get your point and I do appreciate that.

8. Katika county concil, tungetaka mayors and chairmen of county councils to be elected directly by the people.

Thank you very much.

9. Na pia corruption, tungetaka corruption cases, to be prosecuted all the way from 1963 upto today. Nakuimba

serikali, is a crime, kuimba your neighbour is a crime, kuimba katika kanisa ama msikiti is a crime, na tungetaka all

corruption cases prosecuted from top to bottom. Serikali pia mwisho Bwana commissioner, serikali tungetaka, we

would like to have a lean government, serikali dogo, watu kidogo, na watu wa serikali walipwe vizuri, police

walipwe vizuri, kila mtu alipwe vizuri, kuwe na watu wale wameandikwa sio wengi lakini serikali iwe inapeana

maloan so that watu wakimaliza shule they can be able to do other work na let civil servants be paid properly so

that we are not talking about corruption. Thank you so much for giving me this opportunity. Thank you.

Com. Abubakar: Asante sana, kuna swali.

Com. Ratanya: Bwana T’imanyara, hapa umesema kwamba, we give powers to the people, which we really agree, and you

are saying, we refer the local issues to the local people, such as to be established. Can you give an example in these structures

or you want to leave for the commissioners to decide

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!