05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

56

Peterson Kanyi Murungi: Nimemaliza.

Com. Ratanya: kuna swali goja kidogo.

Com. Abubakar Zein: You recommended that small ethnic communities should have special representation in parliament,

how do you define a small community

Peterson Kanyi Murungi: There are some communities like Ogiek and some other tribes.

Com. Abubakar Zein: Will you define it by numbers or have you ever heard of the Omunyo yaya They are population or

low population We should define them by how many they are Nasema, tutajua je, hawa ni wadogo na yule ni kubwa

Peterson Kanyi Murungi: I think the government has got its studies.

Com. Abubakar Zein: Kwa hivyo tutumie wingi wa watu

Peterson Kanyi Murungi: Yes.

Com.: Kuna swali ingine, hapo, there is a place where you have talked about single mothers and their children, that was not

very clear, can you clarify

Peterson Kanyi Murungi: I’m saying that single mothers’ children should also be taken care by their fathers i.e not the care

of, for example, my daughter has got a child of somebody who has not married her, so I’m saying that child should not be taken

care of by the father of the girl but the man who has (laughter)

Com.: Daniel Ntolimulo, endelea Daniel

Daniel Ntolimulo: Asante sana, kwa kuwa hapa na kuhusiana machache juu ya land. Mimi kama chairman wa land hapa,

naonelea, wakati upande wa land wengi walikuwa wanapenda land iwe kama shamba ya kulima, hawakuwa wanapenda

mambo ya mashamba ya malizike. Mimi naonelea, ingefaa land iwe iwekwe ile inaitwa trust programme, kukiwa kuna watu

wanapenda kupima mashamba, yawekwe na watu wengi ili mambo ya land yamalizike kwa haraka watu wapatiwe title, sababu

kuna pahari ingine watu hawapendi kazi iendelee. Wanapenda wawe wakikaa kwa mda mrefu kurudia kazi ili labda, mpaka

wawe wanapata retire waache mashamba yakiwa namna hiyo. Kwa hivyo, naona kukiwa kunaweza kufanywa trust programme

watu wapatiwe title ingeweza kuwa vizuri sana hata watu watapata nafasi ya kutengeneza mashamba yao. Mimi sina mengine ni

hayo. Asanteni.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!