ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
46

serikali imeweka local courts. Serikali hata ukienda huko kotini wakimata watu hawapeleki kltoni, wanawaka court yao hapo,

wanalikap vile wanataka na hawaachilie hata watu. Kwa kuwa hivi sasema, incident hata akimuua mtu, hawezi pelekwa kotini

kwa kuwa ni above law. Hiyo nataka aondolewe hio madaraka.

Serikali wameshindwa kutuza mzitu, wanakopesana hata ile msitu watu wanalipa pesa wanaenda kukata miti huko na kugawa

hata mashamba huko katika forest. Sasa, wamerudi nyumbani, hii ni artificial forest yako ndio wanatunza, ukienda na machine

kukata mti wako ama kuni, wana kuitisha rushwa, na ile rushwa yao haina receipt, haitasaidia hata serikali kotini ata na nini.

Kuajiriwa, watoto kuwajiriwa wewe, hata ukiwa na C na B huwezi kuwajiriwa bila pesa.

Comm. Usirudie sana, bwana Philip jaribu kusema yale ya mhimu.

N’toruru: Sasa yangu ni hivyo,

Comm: umemaliza kabisa

N’toruru: Ee Nimemaliza.

Comm: Okey, hata umetumia muda mfupi, kama una mengi ya dakika moja ungemaliza, lakini kama umemaliza nasema asante

sana. Mwingine ni Tarasira Chichiru.

Tarasira Chichiru: Riatwa riawe ni Tarasia Chichiru

Tlanslator: Jina yake ni Tarasia Chichiru

Tarasira Chichiru: Ariuga ni bwega niuntu bwa kwija kwenu naja.

Tlanslator: Anapeana shukulani sana kwa kwenyu kuja.

Tarasira Chichiru: Niuntu bwa kwija kwenue naja.

Tlanslator: Kwa sababu yenu kuwa hapa.

Tarasira Chichiru: Ariuga ari wa mau mau

Tlanslator: Yeye anasema alikuwa kwa mau mau.

Tarasira Chichiru: kuuma tukuewa guchiatha we atwire ari munene wa KANU rutere twa ekuru

Tlanslator: Tangu wapewe uhuru yeye amekuwa chairman wa KANU pande ya wanawake.