05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

128

(silence)

Com. Ratanya: Addressed Pastor in Kimeru again.

Pastor Samuel Kaberia Manyara: continues in vernacular

Com. Ratanya: Sasa unajua hayo ni maoni yako, kwa hivyo nilikwambia uwe unasema yako na mwingine alisema yake.

Com. Abubakar: Asante sana. Jiandike jina kwa register, mimi sitaki kusema lolote kwa sababu ana maoni yake. Anamjua

kua na maoni yake. Joan Kajuju Kobia, Karibu

Joan Kajuju kobia: My names are Joan kajuju Kobia, Nitazungumzia tu maneno mawili kwa sababu pengine yamasha

semwa, I will talk on those disabled people. What I’m proposing is that the government should set aside every kind of way so

that to uplift the lifes of those people. Others cannot even help themselves.

The other thing I will talk of is about employment, employment, not unless one has a tall relative or leaders are _________

(inaudible) so in case of either the one who is going to be employed, can even get a failure and get a fact, and the one with the

filing certificate be left behind because has nobody at all. Thank you.

Com. Abubakar: Thank you very much. Please sign our register there. Hao nilikuwa nimewaita lakini naambiwa pengine

mmoja au wawili wamerudi, nitaita jina mara ya mwisho, Patrick maina Thiane, nilikuwa nimemuita, mnakumbuka Taricio N’

totingiri, umekuja mzee, ningekuwa nishapitisha hii list, karibu mzee. Najifunza kila siku mzee wangu. Endelea mzee.

Ungetaja jina lako mzee kwa sababu tunarecord.

Taricio Thiringi: Mimi naitwa Taricio Thiringi. Sasa vile mimi nataka kusema, ni wakati ya hospitali, Kama mtu alienda

hospitali, aende na blanket, karai, kikombe, na kijiko, na serikali ndio iko na nguvu ya kupatia mtu kama hiyo. Na mtu kama

hana hiyo, hawezi kuona mtu wakumsaidia,

Com. Abubakar: Kwa hivyo mzee unapendekeza, huduma ya afya, ukienda hospitali, ufanyiwe matibabu bure.

Taricio Thiringi: Bure. Ni hayo tu.

Co. Abubakar: Ni hayo tu Asante sana mzee. Tafadhali uje hapa mzee, mzee wangu, uje uandike jina hapa kwamba

umetoa maoni yako. John N’toirongi. Hayuko John Kobia Mairuki, Thomas Ntoraru, wewe ndio mzee unazungumza sasa

Jina lako nani Keti hapo mzee, uchukue microphone, utaje jina kwa sababu tunarecord, halafu utoe maoni yako.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!