05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

94

Elijah Maitai: Na rutere rwa urimi bwa majani na ru no u.

Translator: na upande wa ukulimaji ya majani chai pia ni hivo hivo.

Elijah Maitai: Na ngugi ya kwendia into biu ni thirikari yendagia, na mbesha ituteretagira kana baria barijaga.

Translator: Na hiyo kazi yote ya kuuza vitu hiyo serikali inatekeleza, halafu pesa ikuliwa tunaambiwa imekuliwa, bona serikali

isituletee hawa watu wanakula.

Elijah Maitai: Buu ni untu bomwe buria buthokitie uchumi bwa Kenya.

Translator: Hiyo ndio kitu moja ile imeharibu uchumi wa Kenya.

Elijah Maitai: Murimi niwe masikini kabisa. Rutere rwa kuria atiomba. Kurita ngugi atiomba niuntu utonga bwawe ni

bwii nau iguru.

Translator: Hiyo ndio imefanya mkulima awe masikini kabisa. Upande wa kula hawezi, kufanya kazi hawezi juu ile mapato

yake bado imeimbiwa huko juu.

Elijah Maitai: Na inya ya thirikari ni antu.

Translator: Na nguvu ya serikali ni raiya.

Elijah Maitai: Na antu barega kurita ngugi, thirikari itithrwa irinambesha.

Translator: Naikikataa kufanya kazi wale raiya, serikali pia haitakuwa na pesa.

Elijah Maitai: Na utethio buria tukwona burithiria Nairobi kana tutaoni turia tunene.

Translator: Na ile msaada tunapewa, serikali inaishia huko Nairobi ama mijini mingi mikubwa mikubwa.

Elijah Maitai: ikio gitumi mbesha itikinyaga naja nja.

Translator: Ndio jia zinakuwa bado pesa haifikii sii huko nyumbani.

Elijah Maitai: Utethio, bwakaga nyomba indaja iria twonaga Nairobi. Butikinyagira murimi buru.

Translator: Hiyo misaada, inajenga ile manyumba marefu tunaona huko Nairobi, haifikii mkulima huku kijijini kabisa.

Elijah Maitai: Kwou, tukarie Katiba injeru, tutegere mbesha ikinyere murimi.

Translator: Kwa hivyo, tukitunza hiyo katiba mpya, tuangalie hiyo pesa je inafuatilia kutoka kwa msaada ama kufikia

mkulima huku reserve.

Elijah Maitai: kwou, thirikari ituthithagiria ngugi nini muno.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!