05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

110

ebu mjumbe awe ni mmoja wao wa member wanapeleka maoni yao kwa sababu hao ndio wanaotuliza constituencies. Na

katika ile budget ya serikali, wakati imetengenezwa, itengenezwe kwa kupitia constituency sio ya district levels. Iwe ni ya

constituencies.

Pia kuwe na kamati katika some branches kwa sababu ya kuangalia behaviours za watu. Kuangalia misitu, kuangalia mambo

ya doa, kuangalia mambo ya masingira, kuangalia mambo ya mito, hiyo kamati itoke kutoka sublocation hadi constituency

levels. Na hiyo ipewe hukumu ya kuangalia mambo, hapa behaviour za watu, kabla mtu hajachaguliwa tabia zake ziwe

zimejurikana, kwa sababu kenya hii tunaweza kuchagua mwizi mkubwa sana na hatujui ni nani tumechagua. Awe na clearance

from the grassroot. Na pia kwa hiyo kamati ichaguliwe, ikiwa inaangaliwa vizuri, awe ni mtu mwenye record mzuri na pia kuwe

kuna watu kama kwa…. Either tuseme watu wa piapo wale wanachunga viapo, ma-pastors, Njurincheke elders wawe ni

katika ile kamati.

Marriage –

Com. Abubakar: Ya mwisho, chagua la mwisho kati ya hayo uliyo nayo, chagua lile la mhiumu kabisa la mwisho ndio

uzungumzie.

Garvason Mathew: ebu ni ende hilo la marriage.

Marriage – nimepropose kuwe na contract kwa sababu watu wanaoa, mtu anaenda anaoa bibi, anapoenda bibi anapata watoto

tano, anamuacha, anapata watoto kumi, anamuacha, kwa hivyo tuna propose kuwe na contract. Wakati wanaoana hao wawili

wa-sign contract, waseme tutapata watoto tatu, no morebut three, wote wasikizane watafanya hivyo. Na pia wakiona ni vizuri

wawe kwa muda, wafanye muda, ikifika miaka ingine walinew contract yao, ili kusiwe na chokola wengi katika Kenya.

Com. Abubakar: Hayo hiyo ni maoni yako, Asante sana, tafadhali needa peleka pale memorandum itachukuliwa, tutaisoma,

tutaisoma kabisa. Asante sana. Maru Wachuka, Maru Wachuka, Chrispine Kaume, Bwana Chrispine, karibu, ulikuwa hutaki

kusema mapema Kwa sababu nilisema kuna mtu mremafu, mgojwa, mzee, akae asikize, Karibu sana. Bwana Chrispine,

ulikuwa umetoa maoni yako kwa maandishi tayari

Chrispine Kaume: Nilikuwa natoa maoni yangu kwa maandishi.

Com. Abubakar: Sasa tupe tu yale mhimu yaliokuwako dani ya hayo maandishi

Chrispine Kaume: Na niongezee ingine tatu

Com. Abubakar: Ongezea tu, ongezea.

Chrispine Kaume: Asante Bwana commissioner, jina yangu mimi naitwa Chrispine Kaume, mimi naongea kwa niamba ya

maoni yangu na ya kundi ambaye ninasimamia, hii ya watu wasiojiweza. Kwa maana hii ni sheria sisi tunaweka, na twapenda hii

kwa watu wasiojiweza, tujengewe ma-school, katika Kenya na mahospitali pia, na yawe yako na kila kitu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!