ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
135

yule atachaguliwa, awe na elimu ya kutosha, awe na degree, ya chuo kikuu, na ya pili, apunguziwe, yale mamlaka yake, asiwe

juu ya sheria kwa kila kitu. Jambo la pili, ni juu ya wale watoto ambao wasio na baba, nataka kupendekeza hivi, kuna vijana,

wale wanadunga wasichana mimba, halafu wanakataa msichana, mimi naonelea, ingefaa, akikataa kumuoa msichana, amlee

mtoto mpaka mtoto akuwe, awe mtu mzima.

Jambo lingine, ningetaka, ni juu ya makesi ya mashamba, ningependelea, yawe yakisikilizwa na wazee, sio koti, kwa sababu

wazee ndio wanajua hiyo mipaka ya mashamba na wanajua ata wale wenye mashamba.

Jambo la mwisho, ningependelea, elimu ya bure, kutoka nursery mpaka secondary.

Yangu ni hayo, sina mengine. Asante.

Com. Ratanya: Asante sana Bwana Peter N’toitharia, needa u-sign register. Veronicah Warukira, endelea Veronicah.

Veronicah Warukira: My names are Veronicah Warukira. Here I would like to talk about just three or four points.

1. The first one – I would like to ask if it is possible for the women groups to be helped in any cases for example, they

take even loans, or machines, that is of tailoring machines whereby they can help themselves or they be brought

water projects to enable them even in agricultural projects.

2. About the case of divorce – this has become a song of everybody, divorce in Kenya is another point that is bringing

more poverty in Kenya that is we have even street children whereby they don’t have anybody to help. It also bring

much more ______ among many people or between both parents of husband or wife.

3. Employment – Many people are educated but they seem not to be educated. Let them be given employment each

person to be awarded according to her or his education level.

4. Land cases – I would like land cases to be looked upon because people have become to get more struggles

because of their lands, they buy lands and they are taken away by some other people who have more money.

5. I would also like women to inherit their parents property because also women are human beings like any others.

6. Corruption has come to everywhere even in mortuary, this has made many people get problems to go for their

bodies. That’s all.

Com. Ratanya: Veronicah asante sana, tutaendelea kwa yule amembaki, kuna mwingine anaitwa Gilvacio Gionka, Thank you

headmaster, tufungie kwa ufupi.

Gilvacio Gionka: Mimi naitwa Gilvacio Gionka, na mimi mwalimu mkuu hii shule Mikinduri Primary. Sina mengi sana Bwana

Commissioner lakini ningetaka kusidikisha sana sana vile nimesikia watu wakisema mambo mengi mazuri.

Ya kwanza nataka kusema, katiba iliyekuwako ilikuwa empty, ilikuwa na material na mambo yangesaidia wananchi, na hii

katiba mpya tunatumia, tunaandika, pia itakuweko. Mimi nataka kusema hivi kupendekeza hivi yeyote ambaye atakuwa