ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
133

Kirianki M’imanyara: I would like to do that far, and thank you very much, I would like to do that gladly, we would like

semi-autonomous county or local government head autonomous and local government which are at various levels at locational

level, divisional level, and district level. I would like to say I’m talking about the Uganda model where local council determines

local issues. Thank you sir, I think that is what I have in mind.

Com. Abubakar: Nilikuwa nimekupa fursa kubwa sababu nikifikiria ndio wa mwisho, lakini tumeletewa list ya watu wengine,

dugu yangu karibu u-sign hapa register tafadhali, that you have given your views. Sasa mimi ningependa kuwaita hawa wote

kwenya hii list hii ya mwisho, waje wawe karibu ndio watoe maoni yao tusije tukafikiria ni mtu wa mwisho, halafu tuongeze

muda kube watu wengine wako. Michae Kobia, Michael Kobia, Morris G. Akwaro, Uko hapo Prisca Patuku, Garvasio

Kubai, uko hapo Sawa, Christine Muthau, uko hapo Na michae Kobia Uko hapo Sasa tunaanza na Michael kobia halafu

tuje kwa Morris, halafu tuje kwa Kubai halafu twende kwa Christine, Sasa ningetaka kumuachia mzee wangu ndio afunge kazi

na nyinyi.

Com. Ratanya: Okey tunaendelea sasa na Michael Kobia, na ningetaka kuwakubusha kwaba, kama kuna mambo

yametajwa mengi mengi, utaje yale ya mhimu na kwa ufupi. Usirudie yale ya zamani, Okey Michael Kobia.

Michael Kobia: Mimi nasema, tunafinywa na serikali, (Ni Michael Kobia) Mtu akikula kitu yake, tunafinywa na serikali, mtu

ikiimba, ni mbaya, sasa tutasema namna gani Sina mengi ya kusema.

Com. Ratanya: Sasa unapendekeza nini Bwana Kobia, unataka nini tuingize kwa katiba.

Michael Kobia: Yaani kwa katiba, nasema mtu akikula yake asiulizwe, yaani usiimbe,

Com. Ratanya: Okey sawasawa. Sasa twende kwa Morris G. Akwaro. Morris ninaona una written memorandum,

Morris Gichaga: Iko na point moja tu lakini ningetaka kuongezea moja.

Com. Ratanya: Okey lakini utatupatia hiyo karatasi Okey tuambie maneno mawili halafu utupatie karatasi. Endelea Morris.

Morris Gichaga: Jina langu ni Morris Gichaga _______ . Mimi ni retired government officer, nilitoka na miaka ishirini kwa

serikali. Ningetaka kuzungumzia kuhusu wafanyi kazi wa serikali sijui kama ni wote, wale wametoka kazini, wale wameretire

prematurely ikiwa hawajafikisha umri wa miaka hamsini. Kuna pesa watu huwa watu wanakatwa wakiwa wangari kazini kama

hii tunaita Widows and children pension scheme. Hiyo pesa, wakati wewe umetoka kama vile mimi nimetoka nikiwa na miaka

46, haurudishiwi, unaambiwa mpaka ufe ndio sasa ipewe watoto wako. Ati huwezi ukapewa sababu ni pension imepangiwa

widows and children, sasa wewe kwa bahati nzuri umetoka, hujapigwa risasi tuseme ukiwa kazini na huwezi kupewa hio pesa