05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

70

To abolish source, and then to review done equality.

To come to water, education, 8-4-4 should be be abolished. No benefit to the people to make free up to standard 8 and start

with ______ education system which was already mandatory. The government should supply district irrigation like lake

Victoria, like all key rivers in Eastern Province, Tana River, Athi River, Ngeregua Sanyiro, Kabita all rivers to make irrigation

so as to get enough food.

Drinking water – should be the light provided by the government. Government should set explosion waters in underground,

electronic should be reduced.

Security- the constitution should guarantee security in Kenya because there is no security.

Citizens should constitution to your right to governor where they are wrong to accuse them.

Security should endorse police. Police should be trained well and secured and highly paid for security purpose always of

______ which is _____ in parliament.

Should be created public hospitals.

Food – we declare that the government that the government should have period of plan ___ in food. Proper food policies will

be developed such as irrigations, such as cereal board should be banned and then another body to make food be stored for the

country to benefit instead of begging food outside. Thank you Bwana chairman.

Com. Ratanya: Thank you very much Joseph Miriti. So the next one Benjamin Mwenda.

Benjamin Mwenda: Jina langu ni Benjamin Mwenda. Mimi nafurahi sana kwa kuona hapa na magari yenu kutoka huko

huwa inaingia hapa kwetu. Ile mimi nasema, kuna mambo ambayo yametuharamisha mno kama vile ya mashamba. Hio ndio ya

kwanza kwa maana mnafanyanga mchana. Siasa katika mashamba isiingie.Siasa katika mashamba si nzuri kwa maana

inaharibu mwananchi wa kawaida. Kutoka 1913, mpaka wa leo kama wazee wetu walipeana mipaka ya Tigania ama mipaka

ya Meru, na kwa hivyo watu wengi wanasema, mipaka inawekwa na wakoroni. Hapana, walipewa lakiba kamiri ya

Njurincheke. Na hiyo mipaka imetusubua sana hadi za uongo kutoka kwa wanasiasa. Mimi nitakupatia kisehemu fulani,

nikienda huko bunge. Hata kama sisi watu wa Tigania tunapakana na watharaka hapa wanatengeneza siraha ya kupigana na

watu ndio wawanyang’anye mashamba. Hiyo serikali, Iwekwe maanani katika katiba mpya.

Mambo ya education, tunataka free education kuanzia nursery mpaka chuo kikuu. Si mtu yeye anaandikwa anaajariwa na

serikali halafu astaafu awa ana maana kuliko mtu yule ambaye haajaajiriwa na ni lazima ugongo ushughulikiwe kama vile

wanashughulikia watoto.

Tukienda upande wa security, security ni mbaya sana katika wakati huu, mtu alinyang’anywa mali yake na yule mtu ambaye

ananyang’anya hiyo mali ni mtu mkubwa. Baadaye, anaweka hiyo mali, katika shamba lake au kitu ingine. Yafaa huyo mtu hio

mali anyang’anywe na serikali. Sio kufulahia mali ya mtu ambaye amesha nyang’anywa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!