05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

71

Com. Ratanya: Ebu jaribu sasa kumaliza.

Benjamin mwenda: Katika office ya President ni lazima kuwe na kitu ambaye yeye anaachiwa kwa maana mara ukimuacha

mtu tupu, hakuna kazi itaendelea. Ni lazima upande wa utamaduni uachiwe kama President.

Com. Ratanya: Ok. Asante sana. Benjamin Asante, tutaenda kwa John msafa, lakini kuna Geofrey, Karibu Geofrey Taribu

Mwirare yuko

Geofrey Taribu Mwirare: Yangu itakuwa oral, nitaanzia na gender quality. Sioni maana vile tunaambiwa kulingana na mira za

kiafrica, wanaume watoshane na wanawake. Hio napinga kabisa katiba yetu isiwe namna hiyo, juu mfano, yule mwanamke

anaolewa, halafu akuje kwenu, si we ndiye unaoa Na yule naye sa tukitoshana, wanawake watoa sisi ama ni sisi tutawaoa

Isitoshe, mali upande wa mali kupewanwa, mwanamke akipewa shamba mfano, na akae kwao asiolewe, akiwa pale kwao,

akipata bwana amuoe, si huyo bwana anaingia family ya wenyewe Hio sioni ikiwa mzuri. Wanawake wasipewe mali, ama

wasipewe mashamba. (noises)

Comm. Ratanya: Niliwaambia kila mtu ana maoni yake, apewe hio heshima ya kusema maoni yake, nawee ukifika hapa

utasema yako.

Geofrey Taribu Mwirare: Wanawake wasipewe mashamba ama mali,

Utelekezaji wa kazi, tunaanzia mashinani, division level, upande wa administration pia, inatakikana ipunguzwe mamlaka yake.

Ichaguliwe, kuanzia chief, achaguliwe na wananchi, kuwe na wakamiti watu wa kutawala, sio serikali ituandikie watu ambao

watatutawala juu sasa kuna kuwa kuna chuki kati ya chief leader na mwananchi mmoja kijijini. Hio pia iangaliwe sana.

Ya tatu, mali, utumikaji wa mali ya serikali, mfano ni selfish, mtu anapanda miti yake, saa ile unaenda kukata, na ulipanda peke

yako, unapatwa na wengine wanakuja, mara kuna forest officer, ye hajui mali unatumia namna gani, na we ndiye ulipanda mti

yako kwa shamba yako, Hiyo saa kutumia unaelekezwa vile utumie, sio vile unapenda. Sina mengine mengi, Mimi namalizia

hapo.

Com. Ratanya: kuna swali gojea kidogo.

Com. Abubakar: Unasema wanawake wasiwe na haki ya kumiliki ardhi, wasimiliki hadi mahali watokako, wamiliki hadi za

bwana zao. Na akinunua ardhi yake

Taribu: Hiyo ni sawa.

Com. Ratanya: Mirungi Atunas, ni wewe

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!