ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
93

Elijah Maitai: Manto jau ijakomusumbura muno niuntu utethio buu butikinyagera baria babaterwe.

Translator: Na hiyo mambo inamsumbua sana juu pesa haifikii mahali imenuiwa iwe imepeanwa kama msaada.

Elijah Maitai: Kwou thirikari itetherie rutere rwa miitu, ithitwe irina nursery chia miti ikaejanaga divisionine

ikaandwa.

Translator: kwa hivyo serikali isaidie upande wa misitu ili itatakikana iwe na ma-nursery kwa kila division iwe inapewa

wananchi miti ya kupanda.

Elijah Maitai: Na miti iria tukuanda ti ya gitene, niakinande. Kwao thirikari itoe iu kenda antu batetheka.

Translator: Na ile miti tunapanda, sio natural, sio ile ya kiasili. Kwa hivyo serikali itupee hiyo ndiyo watu wasaidike.

Elijah Maitai: iu ni ikosumbura antu niuntu miitu irithirwa ni nku.

Translator: Hiyo inasubua watu sana kwa sababu watu ni wengi na misitu lazima imalizwe juu ya haja ya kuni.

Elijah Maitai: Na naja kuti mbesha chia kugura makara. Na makara jau jari ithua kuuma kiri nku.

Translator: na wengi hawana pesa ya kununua makaa. Na hiyo makaa bado itachoma kutoa kwa miti bado.

Elijah Maitai: Na iu ni thina ya kutumira into.

Translator: Na hiyo ni shida moja ya utumiaji wa mali.

Elijah Maitai: Ya jairi

Translator: point ya pili

Elijah Maitai: Rutere rwa urimi.

Translator: upande wa kilimo

Elijah Maitai: Urimi bwa Kahoa buri na thina muno.

Translator: ukulima wa kahawa una shida sana

Elijah Maitai: Kahoa kendwa rutere rwa factory mbesha chitikinyagera murimi.

Translator: Ile kahawa ikiuzwa upande wa factory pesa haifikii mkulima, inachukuliwa upande wa juu.

Elijah Maitai: Na batwi arimi turiuria ethrwa ti thirikari ikuria, nike batigutunekera uria ukoria.

Translator: na sisi wakulima, tunauliza kama sio serikali inakula, bona isitupatii yule anakula na ndio wakubwa.