05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

92

Translator: Mpaka saa hii ni kama imemalizwa.

Musa Kiria: ikio gitumi Mbura iorete

Translator: Ndio sababu mvua imekosa.

Musa Kiria: Kwou njuri cheke iewe ngugi iuo ya gukaria into bia antu bonthe.

Translator: Kwa hivyo Njurincheke ipewe hio jukum ya kuchunga hio mali ya uma resources.

Musa Kiria: Nkothiria jau ja makai

Translator: Amemalizia hapo hiyo machache.

Com. Abubakar: Asante sana mzee, asante sana, tafadhali mzee uende pale uandikishe jina kwamba umetoa maoni. Maingi

Totorochio

Maingi Totorochio: Mimi jina langu ni Maingi Totorochio. Sina mengi ya kusema, moja ni hii, mimi nikisema koti iondoe

mawakiri, kwa sababu kesi inaweza kumaliza miaka 10 au ishirini ikiwa ni case ya mtu, kila siku mtu anaenda kotini na hakuna

kitu inafanyika.

Ya pili, ningependa hii katiba mpya, iangalie mambo ya land, hiyo kazi ya land ipewe wazee wale wanaelewa mashamba ni nini.

Ukifuata kwa wenye kamati unaweza kuta mtoto wa miaka 18 amechukuliwa at ni mzee wa kamati. Naakiuliza hiyo mpaka

mahali iko hawezi jua. Kwa hivyo ningependa wazee wa Njurincheke, wawe wakichaguliwa kwenye kuangalia hiyo mashamba

sio watoto. Sina mengi ni hayo.

Com. Abubakar: Asante sana mzee, asante sana, tafadhali joo uandike jina hapa mzee. Naona Sammy ni obsever, Elijah

Maitai. Tafadhali taja jina uendelee mzee.

Elijah Maitai: Jina yangu ni Elijah Maitai. Asante sana Bwana commissioner, mimi naweza kuzungumza kwa lugha ya kimeru

kwa Maana nitaje yaale mahitaji nataka kutaja.

Elijah Maitai: Mbere

Translator: Kwanza

Elijah Maitai: Ndigua itokoewa utethio bwa kumenyera miitu na into binge biria murungu aejene.

Translator: Maani yake ya kwanza nasikia tunapewa misaada ya kutunza masingira na misitu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!