ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
67

Bwana Mwenda: Lakini hii Kenya yetu bwana tunasikia kuna parties nyingi na zingine ni za kuuza. Mtu anatoa asante kwa

kuuza.

Com. Abubakar: Imagine Bwana Mwenda, hao ni maoni yako, hatupingi maoni yako, tume haipingi maoni yako. Inasema tu

ukituambia tufanya vyama viwili tu chini, utupe na pendekezo la njia, kama unayo sawa, huna, tutafuta

Bwana Mwenda: Mtafute mtafute vile itawezekana.

Com. Ratanya: Asante sana Bwana Mwenda, anayefuata ni Stanley Ntoiwathu, yuko

Stanley Ntoiwathu: Ariuga etagwa Stanley Ntoiwathu

Translator: Anasema anaitwa Stanley Ntoiwathu

Stanley Ntoiwathu: Ariuga enakugwirua niuntu bwa kukinya kwenu aja.

Translator: Anasema, anafuraha sana kwa kufika kwenu hapa leo wakubwa wote.

Stanley Ntoiwathu: Ariuga enakugwirwa taoria Jesu achirirwe Jerusalem.

Translator:

Anasema, leo ana furaha sana leo ni kama vile yesu alizaliwa Jerusalem

Stanley Ntoiwathu: Kwou arina iuku kuma Alawi 19:32

Translator: Kwa hivyo ana kisemo kimoja kutoka kitabu cha Alawi 19:32.

Stanley Ntoiwathu: Itokosete mono niuntu Murungu ariuga tutigere Mkoro Uria na totikuthithia uu.

Translator:

Si tumekosa sana juu mungu amesema tuachie yule mzee na bado si afanye hivyo.

Stanley Ntoiwathu: Nike tuthwere KANU

Translator:

Kwa nini tunachukia KANU

Stanley Ntoiwathu: Ndambiririe na kiama gia KANU 1951.

Translator: Yeye alianza kwa chama cha KANU 1951

Stanley Ntoiwathu: KANU ni baba

Translator:

KANU ndiye baba

Stanley Ntoiwathu: Niuntu tutikua KANU gitio itokuna wirane bwa Murungu.