05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

120

Patricio Miriti: Na atiandiki ni thirikali, aregagera urimi bunka.

Translator: Na hajaadikwa na serikali, anategemea kilimo tu peke yake.

Patricio Miriti: Into biria birimagwa mbesha chiri nthi muno na ibio beregagera.

Translator: Zile vitu zinalimwa iko pesa chini sana na ndio anategemea peke yake.

Patricio Miriti: Ititethagia kwona irio na mbesha iu.

Translator: Haisaidii ata kupata chakula hiyo pesa

Com. Abubakar: Mzee anasema, mahidi inauzwe bei gani

Patricio Miriti: Shiringi nne.

Translator: Shillingi inne.

Patricio Miriti: Aririma na guti gintu akwona, mbesha chia shukuru chitikwoneka.

Translator: Analima na hakuna kitu anapata, fees ya mtoto ya shule haipatikani.

Patricio Miriti: Rutere rwa kahoa

Translator: Upande wa kahawa,

Patricio Miriti: Turirima kahoa tugaikia factory

Translator: Tunalima kahawa tunapeleka factory,

Patricio Miriti: Turiangaika mwaka tukaurirwa, na mbesha itikwoneka

Translator: Tunasubuka kabisa mpaka kunyeshewa, na pesa haipatikani

Patricio Miriti: Kahoa tene, ikari na mbesha titanande.

Translator: Kahawa zamani, ilikuwa ina pesa pesa sio kama sasa,

Patricio Miriti: Naikaombaga kuthomithia twana, bakathiria shukuru ende narua katiomba.

Translator: Na kakeweza kalikuwa kana someza watoto wote, mpaka wanamaliza lakini leo hakawezi, kahawa,

Patricio Miriti: Kwao utethio gwetu, kutibu, kwou thirikali itegere tutigakuewe bure.

Translator: Sasa faida yetu hakuna, selikari inaangalia sisi tunakufa kabisa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!