ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
125

Tlanslator: Wote walikuwa wanaamua ma-case yao sawa sawa

Peter Kamau: Na thirikari yetu ikare ta njuri cheke

Tlanslator: Na serikali yetu inatakikana iwe kama Njurincheke hivyo bila ubaguzi.

Peter Kamau: Na kumenye uma ita kuchioraga

Tlanslator: Wakajua ukweli ulikuwa na nia ya kuua,

Peter Kamau: Na kaworagagwa, withirwa uri na meia.

Tlanslator: Pia ulikuwa unauawa, ukipatikana na hatia

Peter Kamau: Yethirwa ni mbaati ibi.

Tlanslator: Ikiwa ni bahati baya

Peter Kamau: Wariaga na ng’ombe.

Tlanslator: Kulikuwa na malipo ya ng’ombe

Peter Kamau: Wathiria kuria ukaoragwa.

Tlanslator: Ukimaliza malipo huku unauawa

Peter Kamau: Na antu bao ibagwiraguwa mtu oragwa, akiriwa

Tlanslator: Na watu wao wanafurahia mtu wao akilipwa, yule aliuawa

Peter Kamau: Na thirikari yakwithira nja.

Tlanslator: Na hata serikali nayo pia ukipatwa nyumbani

Peter Kamau: oragwe

Tlanslator: Uuawe

Peter Kamau: baria boragene bagwatwa

Tlanslator: Wale wameuana wakishikwa kwa huyo mtu,

Peter Kamau: Kinya bo boragwe

Tlanslator: Hata wao wauawe.