ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
109

Garvason Mathew, organizing secretary DP Tigania East Constituency. Na kwanza imeandikwa kwa kingereza lakini

nitafafanua kwa kiswahili, ili nipate point moja moja kwa haraka.

Tumepropose kuwe na serikali iliye na President amechaguliwa na watu wengi Kenya. Na pia tumepropose kuwe na Prime

Minister ambaye amechaguliwa na majority votes of parliament. Tumepropose kuwe na Vice President wawili, mmoja awe ni

mwanamme na mwingine awe ni mwanamke.

Presidential Powers: Tumepropose kama sasa, tuliye na President mwenye uwezo mkubwa sana katika serikali na kila mahali

na tumeomba katika katiba mpya, hiyo President atakaye President, awe na powers kidogo akiwa anaenda sababa na

wajumbe wengine katika bunge kama lile asiwe na uwezo wa ku-appoint ministers, asiwe na uwezo wa ku-appoint parmanent

secretaries, asiwe na uwezo wa ku-appoint ministry directors, asiwe na uwezo wa ku-appoint ambassedeurs, asiwe na uwezo

wa kufunja bunge, asiwe na uwezo wa kupeana security outside the country with the permission of the government, pia asiwe

na uwezo wa kuchagua commission, electrol commission ambaye imesimamia uchaguzi, hiyo iwe kuwe na electrol commission

imesimamia uchaguzi ikiajiriwa kama waajiriwa wengine wa serikali na sio retired people. Awe ni mtu anaajiriwa kiserikali

kabisa. Kwa sababu mtu akiajiriwa atajua akiharibu ataharibu kazi yake. Has no power to appoint senior magistrate, has no

power to say that army should go to the war before the parliament knowing and vote for that.

Member of Parliament – Mjumbe awe amechaguliwa kutoka constituency level na akiwa ameshindwa na kwenda kwa bunge

kama vile wamezoea, kama mtu amechaguliwa wengine hawaendi kwa bunge, wanaenda wakati wapendao. Awe

akichukuliwa hatua ama mtu anaajiriwa mwingine, kukatwa mshahara, na pia kufutwa kazi, na watu wakapewa nafasi ya

kumchagua mwingine. Member of Parliament, kuwe na, wakipiga kula wawe na three quarters katika parliament ili wapitishe

motion, sio watu kidogo wakifika wamepitisha wengine wanalia, wanahongwa, hii inakuwa mbaya. Kuwe na central board,

kuwe na kamati ya level ya national, kamati hiyo iwe inaangalia masirahi ya wajumbe. Kama vile wakati wa sasa wajumbe

walijipongeza pesa, walijipatia mishahara yote, hawajari kwa sababu hao ni law makers. Wanastahiri waajiriwe wapewe

mishahara na kamati fulani kama central board katika Kenya hii na pia hiyo central board iwe inaangalia bunge, kikao cha

bunge sasa kimepitisha tutafanya hii, tutafanya hii tutafanya hii, kama hakijafanya kuna uwezo wa mbunge hiyo kuondolewa,

wananchi wakapewa kura ya maoni, wakapiga hata wakaiondoa hio bunge, badala ianze kuimba kuimba, na hakuna matunda

wananchi wanavuna kutoka kwao. Pia, Parliament, be given power to appoint, wawe wana-appoint Minister, kuwe hakuna

assistant minister kuwe na deputy minister na parliament iwe ndio inawa-appoint, Parmanent Secretary wawe wana-appoint, in

every ministry, Deputy Permanent secretaries, it should be independent body, it should be appointing ambassedeurs, Ministry

directors, police commissioners, parliament should be saying who will be the general army forces in Kenya. Senior government

officers should have the work which will merge with education, for example, tuseme kama minister amechaguliwa na bunge,

asiwe ni mtu amesomea social services, anapewa internal security. Hiyo ni kuonyeza hataiweza kazi na kazi itaanguka, kwa

hivyo awe akichaguliwa akiangaliwa, pia PS vile vile

Com. Abubakar: Uwe unamalizia

Garvason Mathew: Naende kumalizia Bwana Commissioner. Katika budget, wakati budget imekuwa imetengenezwa Kenya,