ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
114

Peter Mbithu: Kwou watho bwikirwe bwa barabara na miunda

Translator: Kwa hivyo sheria inatakikana iwekwe, ya barabara na shamba,

Peter Mbithu: bwa jairi

Translator: Ya pili,

Com. Abubakar: Hiyo ni ya tatu, Mwambie mzee ni ya tatu na sasa aanze kufupisha.

Peter Mbithu:

Translator: (vernacular)

Peter Mbithu: Kwou mtu aewa munda, na ambirie kuritira ngugi, igaitwa njira kairi.

Translator: Kwa hivyo mtu akipewa shamba, na aanze kuiendelesha, isitolewe njia tena baada ya miaka.

Peter Mbithu: Niunto munda ni jwawe

Translator: Kwa sababu shamba saa ni yake.

Peter Mbithu: Na yethrwa ruji irokwoneka ku

Translator: Na kama maji inapitia huko,

Peter Mbithu: Enjere mutaro kana thirikari

Translator: Kwa hivyo achimbie mtaro ama serikali

Com. Abubakar: Mweleze, mzee, subiri mzee, goja, goja, mueleze mzee, nimesikia kuhusu mambo ya ardhi, nimesikia kuhusu

mambo ya barabara, na nimesikia kuhusu anavyo sema, mtu akikatiwa mashamba, kama kuna mipango ya kuweka barabara,

aambiwe kimbele barabara itapita hapa. Ndio asiwachwe atengeneze shamba lake, harafu ndio aje aambiwe barabara itapita

hapa. Nimeelewa hayo, anamengine

Peter Mbithu: Anene nande, ariaria baria batotongeretie

Translator: Wakubwa sasa, anazungumzia wakubwa sasa, watawala,

Peter Mbithu: Mwana wawe athoka atioragwa

Translator: Mtoto wake akiharibu hachapwi