05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

95

Translator: Ndio serikali ikikaa inatufanyia kazi kidogo.

Elijah Maitai: Rutere rwa sibitari.

Translator: Upande wa _____ ana hospitali,

Elijah Maitai: Sibitari ii bukwona aja yakirwe 1922.

Translator: Hii hospitali iko hapa, dispensary imejengwa 1922.

Elijah Maitai: babainge aja batachiari.

Translator: Wengi hapa hawakuwa wamezaliwa siku hiyo.

Elijah Maitai: Rwage rugutusumbura aja

Translator: Malaria imesubua kabisa hapa hapa, kutoka upande wa chini,

Com. Abubakar: Anapendekeza vipi mzee Pendekezo lake ni nini

Elijah Maitai: Ndawa chia malaria chitegerwe muno.

Translator: Madwa ya malaria iangaliwe sana.

Elijah Maitai: twongerewe sibitari inge naja.

Translator: Tuongezewe mahospitali sana hapa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!