05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

89

amechukuliwa, aliondoka kwa mali yake, imunity ya land akawekwa milimani pahali kwenye jua, pahali kwenye mawe,

akatolewa kwa mali, akiulizwa anasema anabebwa. Na hakujua pahali ambaye alikuwa, kuna watu wa simu kali. Ombi langu ni

hii, ninaomba katiba ituangalie, ukiangalia kwa miaka hiyo mimi nasema, na mpaka wakati huu tunaye. Kwa hivyo tuone wale

ambao walipima mashamba 1966, wazee wale walikuwa wanapima na akina mama wanakwisha wengi, wanakufa bila kuona

title. sababu sikuonelea, serikali wale wanatuandikia _______, anafanya hapa, anasongesha hapa, anasongesha hapa mpaka

akapata ile mali alikuwa anataka. Watu wa kijiji hio wakilalamika anaambiwa atapigwa transfer. Akipigwa transfer

anapelekwa pahali pengine haop karibu. Yeye akafanye namna hio. Tunaomba wakati huu, akiwa anatenda yale hapendeki,

badala ya kupigwa transfer, arudishwe nyumbani, afutwe,

(Interruption)

Com. Abubakar: Sawa mzee,

Paul M’tuambutu: sababu anakamatwa na wizi wa mashamba. Ya tatu,

Com. Abubakar: La mwisho

Paul M’tuambutu: ya tatu sisi tuna taabu sana, ninaomba katiba ipya, mambo ilikuwa inafanywa council na Njonjo, ili ya

wasichana, wasichana wale ambao wako nyumbani, kijana anaenda anafanya urafiki naye anamtia mtoto, anamuacha hivi,

Mtoto yake yule baba yake anaachwa kuhangaika hapo. Msichana mmoja anaweza kuwa na watoto wawili watatu wanne

wanaachiwa na mzee na mzee hakuna nguvu,

Com. Abubakar: Mzee pendekezolako ni kwamba ikiwa kuna kijana anamtia mimba mtoto wa mtu awe anamuoa au atunze

yule mtoto mpaka atakapokuwa mkubwa

Paul M’tuambutu: Mpaka atakapokuwa mkubwa, mpaka achukuwe kipande, mpaka afikishe miaka 18,

Com. Abubakar: Sawa, tumekubali hiyo mzee tumesikia.

Paul M’tuambutu: Ya nne

Com. Abubakar: ufanye mwisho mzee wangu, kwa sababu nimekupa muda kushinda watu wengine wote kwa sababu wewe

ni mpiganiaji uhuru. Sawa mzee.

Paul M’tuambutu: Ya nne, jia hii yetu yetu sisi wameru, kabla mzungu hajaingia nje hii, ilikuwa inalidwa na wazee wa

Njurincheke, hii wazee wa Njurincheke, walikuwa wanachukua jukumu ya kuangalia njia zote zile inaweza kuhangaisha

mwananchi kama hiyo nasema wasichana, kama ya kuua mtu, wazee ndio walikuwa wanalipisha. Kwa hivyo mambo ya

mashamba na mpaka na msitu, na vipima vya maji, ilikuwa inalidwa na wazee wa Njurincheke. Ninaomba hii katiba, iwape

wazee hawa wa Njurincheke jukumu ya kuangalia nje hii kama vile ilikuwa zamani kwa sababu ni zitu hawawezi kusumbuliwa,

maji hayawezi kuwa baya kwa sababu mambo kuitupia wazee nyumbani itakuwa mzuri.

Com. Abubakar: Asante sana mzee wangu,

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!