05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

43

(crowd: Ni sawa) Akaja mtu mgojwa, tutaomba mtupe ruhusa hiyo hiyo, akaja mtu mzee sana ambaye hawezi kukaa kwa

mda mrefu, pia tutaomba ruhusa hiyo. Ni sawa

Sasa huyu mwingine, kazi yake ni kuandika report kwa mkono mrefu, yule ana-record, huyu anaandika, na huyu ndio kiongozi

wao Roselyn Nyamato ni Programme Officer katika secretariat yetu officini huko Nairobi na kazi yake hii ilikuwa na hii register

anawaonyesha hii. Ukishamaliza maneno yako pale, unakuja hapa unaandika kwa mkono wako na kusign na utaulizwa maswali

ya kuandika hapo ndio ujulikane kwamba wewe umetoa maoni yako. Ile kuandika pale form, nikuonyesha pengine unataka

kutoa. Hii ni kuonyesha kwamba umeshatoa. Sijui kama tunaelewana Kuna mtu anaweza kuja hapa aseme nimegaili nia

sitaki tena kutoa, na kuna mwingine alikuja hapa kutokutoa baadaye aseme anataka kutoa, sio hivyo Unaruhusiwa kutoa,

unaruhusiwa kutokutoa, ukitaka kusiliza tu pia unaruhusiwa hivyo lakini ukimaliza kuzungumza pale, hakikisha umeenda pale

ukaandika jina lako ukamaliza. Kuna swali lolote. Hakuna. Asanteni sana, na saa ningependa kumrudishia chombo hiki mzee

wangu Mzee Ratanya aanze kazi hii twendelee.

Com. Ratanya: Asante sana Commissioer Zein hata kwa kueleza kwa hiyo lugha nzuri sana ya kwenu huko Mombasa, kwa

hivyo tunafurahi sana wananchi wamesikia vizuri, na hapo ya mwisho ningetaka kuhimiza hata zaidi ukiwa na memorandum ama

maadishi, na wewe hutaki kuongea, unaweza kwenda pale kwa Programme Officer upeana memorandum na using register ata

uende ukitaka, ama uketi usikilize wengine.

Jia ile ingine tumesema ni kwamba unaweza kuwa na memorandum halafu ui-highlight, uende point kidogo kidogo umalize

kulingana na saa zile umepewa na upeane. Na tena ni kama huna chochote kama memorandum, ketu tu uongee yale yako

katika kichw chako. Sasa tuanze kwa haraka, na mmesikia niliwaambia mbeleni hapo ni dakika tano, ikiwezekana hata

ukijaribu kwenda less than 5 ni sawa sawa. Tuanze na Thomas Mungeria.

Thomas Mungeria: Thank you very much commissioners, chairman na ma-audience. I’m here to represent my constitution

review change to this kikao. Jina langu naitwa Thoma Mungeria from Adaburi land and irrigation committee. Sasa nitaanza,

nitaaza na maneno ya state.

‣ I would like this constitution to change the Kenya currency instead of having the continuous portrait of any President to

have a continuous symbol like mount Kenya or other important thing in the country.

‣ Another one, the President – the Presidential powers should be reduced in appointing the big personnels e.g like MDs

Chairmen of any national organizations. This should be done by an independent commission which is not at the mercy

of anybody.

‣ Police – police when arresting should not be allowed to use any of their powers, but they should be allowed to use any

power without any torture.

‣ Judges – judges should be appointed by commission which is very independent from the President.

‣ Second, when somebody is being presented in a court, the sentence should run with the degree of an offence, not

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!