ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
81

madiwani, malipo yao yawe yanatoka kwa serikali, sio pesa ya kusanywa na wananchi halafu wanapewa.

Nikitoka hapo kwa local authorities, katika hii sheria mpya, ninaonelea ma-chairmen ma-mayors wawe wakichaguliwa na

madiwani ili kile kipindi tunawachagua cha miaka miwili wawe tukisema kitu kuhusu wananchi wetu wanaogopa kukataa.

Wakichaguliwa na wananchi, watakuwa watu wakubwa, hata katika huko local authority hatutawaweza.

Ya pili mwenyekiti, maneno ya provincial administration – provincial adminstration ningeomba ikiwa sheria haitawaondolea

mbali kabisa, wawe watu wakuenda transfer kama wafanyi kazi wengine wa serikali ili kuzuia wasiwe na hila na mtu huyu ama

yule mwingine. Wafanye kazi kama vile DO wanafanya na wale wafanyi kazi wengine wakiwa wanafanya wanaenda transfer.

Pia kuna sheria ingine kuhusu hawa Provincial Administration, wengine hawana elimu kabisa. Nao pia, katika sheria yetu mpya

tungeomba serikali iwaajiri kazi ama kama ni kuwachagua, tuwachague wakiwa watu wakutoka secondary katika education

yao.

Com. Ratanya: Secondary kiwango gani Form 1 ama niii….

John Muchunuku: Form 4. We are talking, sheria inahusu ardhi, land na pia wanacommissioner ningeomba hata kwa the

current parliament, sheria ya land ya kusema mwanakamati akichaguliwa, asubue wananchi wake mpaka wakati atakufa. Hiyo

ningeomba hata bunge iende iondoe hio kifungo hata kabla ya kusafisha hizo sheria zetu mpya ili kuwe na parm of the office

ndio mwanakamati ambaye anachaguliwa kwa sababu amenyanyasha wananchi sana.

Na pia, nikitoka hapo, arbitration boards pia wanacommissioner ziwe zinafanywa na wananchi hadhalani kwa sababu hii

appointment kuwa appointed na Machiefs ama MaDO, MaDCs wanawekea wananchi nusu ingine ambayo haifai, unaangalia

yule mtu ambaye wanataka wanaweka, lakini mtu wa kuchaguliwa atakuwa mtu wa maana kwa watu kwa sababu atafanyia

watu kazi nzuri.

Nikitoka hapo, na ya mwisho ni kuhusu mipaka yetu, ama mipaka ya Kenya karibu yote. Mipaka yetu sisi tulikuwa tunaonelea

zamani mipaka yetu ilikuwa inalidwa na Njurincheke. Na hata kama tunaingiza provincial administration huko, pia lazima

waadamane for the purpose of the security ili Njurincheke ipewe nafasi yake iangalie mipaka ya wananchi ama mahali

wanatoka. Na pia, Njurincheke, public lands ziwe zinaangliwa na county council na Njurincheke. Zitoke kwa provincial

adminstration kwa sababu karibu zote wanalamia hazijulikani mahali ziko. Asante.

Com. Ratanya: Asante sana. Anayefuata ni Jospaht Kiraithe

Josphat Kiraithe: Mimi kwa jina ninaitwa Josphat Kiraithe, nitachangia mjadara wa katiba. Kwanza ninaaza.

President – achaguliwe mtu asiwe na makosa ya kubora mali ya uma na awe na masomo ya juu. President achaguliwe siku

yake peke yake. Na wabunge pia wawe watachaguliwa siku yao ili kusiwe na udanganyifu.

Mali ya uma, igawanywe sawa kwa constituencies zote za Kenya. Ningetaka pia, jeshi letu la Kenya, police, magereza, vio