05.01.2015 Views

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

ON 17TH MAY, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

138

ama mapendekezo mapya, ataruhusiwa kwenda Embu, atoe mapendekezo yake tena. Kwa hivyo hatujamalizana na civic

education providers na hata nyinyi raiya kwa sababu tutakuja tena hapa wananchi tuwapatie report, tuwaambie tulikuja

Mikinduri mkatuambia hii na hivi, na muone kama ni nyinyi mlisema hivyo. Halafu kama kuna mapendekezo, mtatoa tena. Kwa

hivyo kama hawa wa civic education providers, watakuwa nanyi tena, mtaendelea nanyi tena, tutaendelea nanyi kwa sababu

mimi ni mtafusi wa hii report, si hatuwezi kuingia, kwenda kila mahali, tutakuwa nanyi wakati wote, kwa hivo msiwe na

wasiwasi, nitatumana kupitia kwa kamati yangu tuko na chairman hapa, Jimmy uketha, nitatumana nimwambie tutakutana lini na

tuone vile tutaendelea na kazi yetu kama kawaida. Nitaachia hapo, nitamuomba Jimmy Muketha atoe shukurani, vote of thanks

halafu turudishie commissioner tufunge kikao hiki hazimi. Asante.

Jimmy Muketha: Macommissioner wetu, Bwana Ratanya, Bwana Abubakar, coordinator Bwana Kimanthi, wafanya kazi

wa commission, na wananchi, yangu ni machache tu sitaki kurudia yale maneno yamesemwa na commissioner au Bwana

Kimanthim yangu ni kusema ni asante sana kwa wananchi kwa kuja katika kikao hiki asante sana kwa headmaster, kwa

kutupatia office, siku zile tumefanya mikutana hapa, hata Bwana Ratanya anakubuka tulikuwa tumeketi hapa wakati wowote, na

hata leo umetupatia hospitality hiyo, tunekushukuru sana, na chairman wa shule muambia tumeshukuru sana, na Bwana Ratanya

na yule Commissioner mwingine, karibuni tena Tigania. Thank you.

Com. Ratanya: Tupate mmoja atuongoze kwa maombi, Ntomentai, kuja hapa mbele,

Ntomentai: Tuombe, part of prayers in Kimeru and continues in kiswahili, tunakuomba, kwa yale yote unaweza kutendea

hapa, kwa juu yako mwenyezi Mungu kwa vile unatufanyia hapa tunakuomba tunakushukuru, mahari popote tunaenda, wende

nasi, pahari commissioner wanaenda na gari uende nao, mpaka pahari wanafika, ufike pamoja nao, kazi ile wanafanya wasaidie

kwa mkono wako Mungu ufunike na kivuli yako ya roho mtakatifu na uwapatie mawaidha katika Kenya Baba Mungu,

tunakushukuru kwa vile unatufanyia kutoka asubuhi, mpaka leo, tunakuomba kwa hayo machache kwa ajiri ya mtoto wako na

mwana mtakatifu tunakuomba kwa Mungu na Roho mtakatifu kwa mwana utujarie yale yote tunaweza kushukuru,

tunakushukuru na tutakuomba yale Mungu utufanyie jiri ya Mungu, mtakatifu na mwana na roho mtakatifu AMEN

Com. Ratanya: Asanteni sana, sasa ningependa kutambua kwamba na kutangaza kwamba kikao hichi cha tume kulekebisha

katiba, kimefikia mwisho, I would like to officially declare that the sitting of the Constitution of Kenya Review Commision has

come to an end. Thank you very much.

Meeting ended at 5.30 p.m.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!