05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Ayonga: Councillor, umetuambia kwamba nini nomination ya councillors iwe abolished je na nomination ya MPs

hukutuambia itafanywa nini kwa maana city councillors tu wanao kuwa nominated au umeiandika katika hiyo memo yako?

Sylvester: Iko kwa memo.

Com. Ayonga: Umesemaja lakini? Umeseama nao waendelee ama umesema wawe scrapped?

Sylvester: Nimesema nomination of MPs also be scrapped.

Com. Ayonga: Asante nilitaka kujua tu.

Com. Asiyo: Na mimi niko na swali moja tu ningetaka kukuuliza. Mara nyingi nomination ya watu ambao wanawekwa kwa

council au kwa bunge, ingekuwa ni wale watu wanaweza kusaidia nchi hizo au councils hizo. Pengine hiyo haijatendeka. Lakini

kuna watu fulani ambao wanahitajika kuwa na representation. Kama watu walemavu au kina mama au wale maprofessionals

pengine wanaweza kusaidia area yao kwa maendeleo fulani. Je bado unafikiria kwamba kusiwe na nomination yeyote kama

inaweza kurekebishwa ili special groups kama hawa ndiyo wapewe nafasi pekee yake na sio wale ambao wanaenda kusubua

macouncillors wale waliochaguliwa kama ilivyo kuwa hapo mbeleni. End of Tape 1 side A.

Side B

Sylvester: Asante Madam Commissioner, mbeleni ilikuwa jema kwa maana nomination ilikuwa watu with special knowledge

walikuwa wanakuwa nominated waende wa-assist that city council or municipal yaani local authority, lakini haijakuwa ikifuatwa

hiyo. Unakuta mtu ana nominate even somebody who is illiterate to the council. He is not beneficially to that council because

somebody somewhere sat in his house na ku-discuss labda na jamii yake.

Com. Asiyo: Hiyo ni kweli tumeshukuru na your point has sailed and we grateful to you if you can please go there and sign

our register and also surrender that document. It now becomes our property.

Sylvester: Thank you Madam.

Com. Asiyo: Thank you very much. Take care. The other side that is where you will go. Sasa ninamuita Bw. Joseph arap

Sambu Joseph yuko? Hebu fika mbele mzee uongee na sisi. Kama unamaandishi utachukukua mtu mfupi zaidi kwa maana

kila kitu umeandika tutaweka kwa computer yetu na hakuna kitu kitapotea. Tafadhali endelea asante. Uanze na majina yako

ndiyo iandikishwe kwa machine yetu.

Joseph arap Sambu: Commisioners wetu, wageni ambao mmeandamana nao, Coordinator na team yake na wananchi ya

hapa hamjambo? (Audience: clapping) Majina yangu ni Joseph arap Sambu. Mimi nasimama hapa nikitetea Katiba mpya

nikiwa binafsi ingawa mimi ni chairman ya kamati ya shamba hii inaitwa Mumberech hatukupata nafasi kupatana na hawa ili

11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!