05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kwa sababu tunaanza, ningetaka wale wa zamani watolewe.

Com. Ayonga: Na wanatolewa mbila makosa ili wapatie wale wengine nafasi?

John Koti. Ni retrenchment. Serikali iwe na mpango wa retrenchment na wanapatiwa benefits zao.

Com. Ayonga: Hayo ni maoni yako na wananchi wengine wako na maoni yao.

Com. Asiyo: Asante. Sasa ningependa kumuuliza Bw. Juliua Seronei na nyuma ya Julius tutakuwa na Walter Rop, halafu

Jeremiah Kiprono atafuata. Kwa hivyo kila mtu ajitayalishe yale majina ambayo nimeitaja.

Julius Seronei: Basi Com. Ayonga na Madam Com. na audience wa Kobatek ninatoa maoni yangu (interjection Com. Asiyo:

anza na jina lako) Jina langu ni Julius Seronei. Ninatoa maoni yangu, kwa upande wa rasilimali ambaye tuko naye karibu

hapa na hatupati hiyo rasilimali kwa sababu inaenda na watu wa mbali. Kwa hivyo ningependa kama hiyo rasilimali iko karibu

na sisi tutumie sisi wenyewe.

Kwa hivyo tunaye matatizo mengi kama shule, hatuna hata mabao ya kujenga nayo shule, hatuna hata miti ya kujenga nayo

hospitali, hatuna hata ya kujenga hii health centres yetu kama centre hizi ndiyo mnaona hiyo ni baya sana kwa sababu tuone

hapo kabisa kwa katiba ya leo kwa sababu tunahasara zaidi. Natunaye mali ya kutosha.Na kuwa upande ya watu wagaaji

waishi mahali ambaye wanaishi wasichaguane kusema hii watu ni kabila fulani , hii watu ni kabila fulani. Wakae pamoja tu.

Ya tatu ni upande wa masomo. Ninataka watoto wasome bure kutoka std. one mpaka university. Kwa sababu watu wengine

hatujiwezi kwa sababu kuna watu maskini, walemavu wanazaa watoto na hawawezi kutafuta pesa. Kwa hivyo ninaona watoto

wasomeshwe bure.

Kwa upande wa hospitali kama sisi tukiwa hapa upande wa Mumberech hospitali iko mbali tunaenda mpaka Ravine au kama

mgonjwa na kuwa serious anapelekwa Eldoret, au Nakuru, au Tenwe na ni mbali sana. Kwa hivyo ninaona tunatatisika sana

kwa mambo ya hospitali. Kwa hivyo sina mengi ni hayo tu yangu. Maoni yangu ni hayo.

Com. Asiyo: Tumeshukuru sana mzee unaweza kwenda pale ….. you want to ask?

Com Ayonga: Mzee wewe unamaneno na ninataka tu ujibu kwa kifupi. Unasema natural resoruces ni rasilimali ambayo

inpatikana kwa pahali fulani unasema unataka hayo mali itumiwe na watu wa hapo hapo.(Julius: Ndiyo) Wewe unakula kitu

chote na hata serikali kuu hauipatii kitu? Huwezi kutoa kidogo, hukutuambia hao watu wanaohusikia wanachukua percentage

gani na serikali kuu inachukua percent gani unakula yote?

27

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!