05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

uongozi ni kipawa kutoka Mungu. Lakini nasema hivi mtu ni lazima awe anajua kusoma na kuzungumza Kiswahili kabisa safi

au Kiingereza. Hakuna shida kwa uongozi wowote.

Kwa hivyo ninapomaliza hata the late Tom Mboya alikuwa akisomea shule huko Makongeni Thika. Na huko, alienda mpka

Form 2 akawa secretary ya Labour secretary Nairobi mwisho akaenda Bunge. Akashika wizara mbili Ministry of Planning and

Development. Na yeye ndiye alichampion serikali ya watu kwa watu – ya wale watu lakini mwishowe akaenda. Kwa hivyo

alikuwa na degree Tom Mboya? Si iko kwa historia? Kwa hivyo uongozi ni uongozi. Kusoma unasomea kazi.

Com Asiyo: Asante sana mzee umeongea vizuri tumeshukuru sana. sasa nenda ujiandikishe pale jina lako kwa register

yetu… (interjection)

Job Kandie: Sorry. Majimbo niko na qulifications tena. Hii ni vile nimechora majimbo. Proposal yangu is kuwa itakuwa hivi.

Hii ni vile regions zinaweza kugaa na vile watu waliingia nchi hii. Walipitia huko, wakapitia hapo, wakapitia hapo, pale pale, na

wako ndani Kenya between 17 th century na 18 th century. Walikuja kufuatana na upendo yao, wako kwa Rift Valley wengine

Central Province. Tunataka tuwe majimbo ya kuelewana kwa watu wa kitamaduni. Si ya kwamba mtu kutoka Rift Valley

aondoke kama si kabila ya Kalenjin, hapana. Sisi wote ni watu wa Kenya na lazima tumependa. These are Kenyans

Com. Asiyo: Naweza kuwa na hiyo map mzee nione niangalie kidogo na pia tutachukua tupeleke huko Nairobi tuone hii map

yako. Kuna swali hapa mzee.

Com. Ayonga: Haya majimbo tutafuata boundaries gani zile zilikuweko mbele au boundaries za sasa?

Job Kandie: La, Bw. Commissioner. We are ever forward but never backward so I propose that we remain the way we are

now tuitwe majimbo.

Com. Asiyo: Asante sana mzee.

Com. Ayonga: Na hii karatasi ni mali yetu.

Com. Asiyo: Na ulichukua muda kwa hii kazi tunakushukuru sana. Huyo ni mwalimu. Bw. Coordinator, that is now our

property we will take it and see what regions are in this map. Sasa mzee karibu kuja utuambie jina lako uanze kuongea kwa

dakika chache kwa maana niko na watu wengi sana na wewe ni.. wewe unaitwa?

Jonah: Jina langu ni Jonah Kipkeria arap Keiyo. Yangu inaonekana imekuwa machache kwa sababu yule mzee alizungumza

37

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!