05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Now mwenye kiti, tena inakuwa hivyo kwa DC; hakuna DC kwa sasa ni District Coordinator. Hakuna DO ni Divisional

Coordinator, hakuna Chief, ni locational coordinator. Wote wapigiwe kura, si mlolongo ni ufisadi hiyo. Kwa sababu kuna jicho

ambayo inaweza kutokea. Kwa hivyo ni sili na hawa wanatumikia region miaka mitano pekee yake. Halafu wanaweza kuwa

eligible wachaguliwe tena kama wamekuwa wakisaidia watu. (interjection: inaudible) Tano. Anaweza kuendelea if he is

protective he can continue.

Com. Asiyo: Kuchaguliwa tena?

Job Kandie: Akipita tena ni kuonyesha ya kwamba wananchi wanapenda yeye analeta maendeleo. La sivyo aende nyumbani.

(clapping) Jambo lingine hata kwa DC hivyo hivyo. Na awe mzaliwa wa district. Hat DO hivyo hivyo na awe mazaliwa wa

division. Hata chief, si chief sasa ni locational coordinator awe mazaliwa ya location hiyo; hiyo hiyo tu. Anaweza shika watu

kiuchumi, kitamaduni, kisiasa yeye si mgeni. Kwa hivyo hapo tena kama mtu ameishi kwa district hiyo, hakuzaliwa na ame

register, kwamba anaishi katika location hiyo, anaishi katika region hiyo he is also legible na anaweza kuapply lakini apitie secret

ballot. Sio kwamba ni na nyuma wale wengine wanaishi katika location hiyo.

Jambo lingine ni kuhusu requirement. Kitu gani kinatakikana. Nimesema mbeleni ya kwamba awe mazaliwa lakini jambo lingine

iwe anajua huyo coordinator. Awe amesoma ako na degree in the field of humanity. Sio ya kwamba ukicheza utaniona. Mimi

ni PC. Tumeona PC, ukiona PC ni millionaire ako na nyumba ya tile yeye alipata wapi pesa? Ako na mashamba. Hakuna PC

ambaye ako acre tano kama mimi. (clapping) Ni kwa sababau aliharibu mamlaka yake. Hakuna what I am saying is that we

should not have appointments kwamba kwenda kwa DC kwa Kakamega. Kila mtu a face people. This is democracy.

Jambo lingine awe amefikisha miaka thelathini amekomaa.

Com Ayonga: Na miaka yake ya mwisho?

Job Kandie: Ya mwisho (interjection)

Com. Asiyo: Sabini au themanini?

Com. Ayonga: Na kama watu wanampenda?

Job Kandie: Kama watu wanapenda yeye you know, what we want is a productive man. Anaweza kuendelea tuki-enjoy fruits

zake mpaka tisini na tano. Kwa sababu kama nina enjoy uongozi wake, what I want is good leadership. But 65 tafadhali.

Com. Asiyo: Kwa hivyo watu kama sisi umetuondoa kabisa.

Job Kandie: Umefika miaka ngapi?

Com. Asiyo: Sitini na tano. Angali uko miaka tano.

Job Kandie: Jambo lingine awe uhuru kwa makosa yote. Free from any criminal offence. Very clean. Na tena kama

inaezekana awe kwa application yake kwa regional electoral commission aonyeshe lengo lake atafanya nini sisi. Sio ya

35

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!