05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Macouncillors walipwe mshahara sawa kama wabunge. Sio wengine wa Koibatek wanalipwa elfu sita na wengine wanalipwa

elfu sabini.

Budget: Pesa iwe allocated direct to the district not ministries. Hiyo pesa ya Ministries inakulwa huko Nairobi haifiki District.

Com. Asiyo: Nani anakula hiyo pesa?

Kiptum arap Binnot: Nitakueleza baadaye

Com. Asiyo: No no you have talked a lot.

Kiptum arap Binnot: I am about to finish

Com. Asiyo: But you have written and we are going ….

Kiptum arap Binnot: I have not written

Com. Asiyo: You have not?…. (inaudible)

Kiptum arap Binnot: Give me two more minutes. Mambo ya culture. Katiba itabue na itunze lugha zetu za Kenya. Mambo

ya pesa ya nchi hii. The efgy of the seating president should not be in the Kenyan currency. Picha ya rais ambaye anahudumu

siwekwe kwa pesa ya Kenya. Hiyo sura an Moi ama ya Kenyatta zikuwe kwa pesa ya Kenya. Kama itakuweko sura ya rais

iwe the founding President, Mzee Jomo Kenyatta. Kama ile ya George Washington ya America. Ama sivyo tuweke mlima

Kenya. We are not worshipping president (noise in the background)

Com. Ayonga: Tafadhali tutumie lugha nzuri.

Kiptum arap Binnot: Emblem: kwa sababu ile jogoo iko kwa pesa ya Kenya iko picha ya jogoo hiyo picha itolewe because

it is symbol of another party. Yeah, iko jogoo kwa pesa angalia shilingi, katikati hapo kwa emblem iko jogoo imeshika choka,

itolewe kwa sababu jogoo ni ya KANU na watu wote sio wa KANU.

Provincial administration: Tubakishe DC na Chief pekee yake. PC ataenda kwa side ya Majimbo na DO ni mtu ya fitina aende.

DC a-chair only security council kwa district sio land board education board, agriculture out.

Com. Asiyo: Huyu mkubwa wa jimbo anaitwa nani?

Kiptum arap Binnot: Governor.

Com. Asiyo: Anaitwa Governor.

Kiptum arap Binnot: Yes, Chiefs wakuwe appointed after being vetted baada ya kuchunguzwa na council of elders at the

location level. Isikuwe election kwa sababu hiyo itakua siasa. Wacha wazee wa mitaa wachague. Land nimemaliza hiyo

commission ya Lands Nairobi ifunjwe na mahala pake ipelekwe local councils wasimamie ardhi.

Landi inheritance, kurithi shamba iwachiwe mambo za kitamaduni – customarily law iamue hiyo kwa sababu kuna makabila

zingine wanaweza patia wasichana kuna kabila zingine wanakataa.

Com. Asiyo: Lakini katiba itaangalia watu wote wa Kenya. Haitawachilia watu wenyewe wafanye vile kabila yao inataka.

62

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!