05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Asiyo: Asante sana tumeshukuru kabisa kabisa. Sasa namuuliza Councillor kwanza. Cllr David Morogo aje aongeleze

sisi ndipo tutamwita Bw. Javan Lagat. Councillor wewe uko karibu? Cllr. Morogo. Haya Javan kuja uongea. Lakini

mmweleze Councillor tunataka sana maoni yake juu ya katiba mpya hii aje aongee na sisi.

Javan Lagat: Kwa majina naitwa Javan Lagat. Mimi tu napenda kushukuru kwa vile mmefika upande huu na huenda kuwa

hamngeweza lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu. Jambo tu ambalo ningependa kusitisa sana iwe katika katiba yetu ni

ni kwamba katika mashule yetu tunataka hii maneno ya katiba inapokamilishwa ifunzwe wanafunzi kutoka darasa na nane na

kuendelea hadi chuo kikuu. Ikiwa kwamba watakuwa wakijua sheria na wajue kila kitu na mahali ambapo kama mtu atakosa

atajua.

Lingine ni kuhusu upande wa wafanyi kazi. Unaona upande wa vijana sana wakati huu, tunaona kwamba kazi haipatikani na

unaona kwamba tungependa serikali ihimize kwamba mtu anapofika miaka hamsini na tano, aende nyumbani. Na akishaa enda

nyumbani he should not vie for any seat. Let the young people do that because we have people who are elite and (interjection)

Com. Asiyo: …watu wa miaka hamsini na tano… (inaudible)

Javan Lagat: They retire and they should not vie for any seat, yeah. Jambo lingine ni kwamba tunapata wakati wa uchaguzi

kama wa wabunge na councillors, tunataka kwamba kama wanachaguliwa wachaguliwe na itumiwe secret ballot pia counting

ifanywe katika polling station.

Com Asiyo: Na hiyo imefanyika tayari.

Javan Lagat: Ok thank you. Jambo lingine pia, ni kwamba nomination kwa bunge ifanywe kwa wale ambao tuaita disabled

but educated. Those people with disability but educated. Another thing, ni councillors. Councillors wakuwe nominated na iwe

kama with disability lakini wanajua kusoma. Na lingine pia ni wamama wapewe nafasi ya kuwa nominated especially

councillors na wabunge wamama pia wapewe nafasi at least 10% in the government because mimi nili propose federal

government. Ingine ni kuhusu pesa inayopatikana. Unapata ya kwamba wajumbe wanapochaguliwa wanatumia pesa kwa njia

baya ama kwa njia ambayo sio nzuri. Kile ningependa ni kwamba pesa ikunje kwa wananchi ipitie cooperative society and

then it will be managed by the wananchi in projects ambazo ziko kwa that particular area.

Kuhusu maneno ya insurance. Unapata kwamba other countries like America people are insured and you find that in Kenya if

people are insured for example mtu anapochukua insurance ya gari mtu anapopata accident yhou find that the family of the

deceased people wanakuwa na shida ya kupata ile beneficiary kutoka kwa institution. So inatakiwa sisi serikali the central

government ifanye juhudi kwamba if at least that thing is done it should be within the local authority.

Jambo nafikiri la mwisho ni kwamba Rais asiwe na mamlaka zaidi. For example awe kuwa mkuu wa majeshi, we want the

minister concerned to take over. And another thing is like our universities you see that the President is the chancellor. We want

the chancellor of that university to be the chancellor and then we have to find a chancellor not the president and we limit. And

43

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!