05.06.2013 Views

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

TUESDAY, JULY 9TH, 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Director kule, halafu kama kuna kijana akienda kuuliza kazi anaulizwa, “wewe unatoka wapi, wewe ni mtoto ya nani, hiyo kitu

tunauliza serikali yetu au tunauliza commission hiyo kitu irudishwe kwa mwananchi. Sababu wananchi wenyewe wanajua tuko

na watu wa universities wanaweza kufanya kazi kama hiyo.

Ingine Bw. Commissioner ni kuhusu President, yule anataka kuwa President. Awe akichaguliwa na watu kutoka chini sio

kwamba kwa sababu wakati huu tunaona tukiwa chini tukiwa macouncillors, tunaona wabunge wanakuja chini na kuombea mtu

kazi au President, hatutaki namna hiyo. Sisi tunataka mtu auze policy yake kwa mwananchi sio mimi nikiwa chairman ya

Councillor nikiwa Mbunge mimi naenda kiwajani kusema nani anaosha kuwa President. Hapana. Sisi tunataka mtu akitaka

kuwa President yeye anakuja kuuza policy yake country wide, wananchi wenyewe wataumua kama yeye anatosha, au hatoshi.

Hiyo tunaomba kabisa Commissioners iwekwe iwe clean kabisa.

Com. Asiyo: Ok, the next one.

Cllr. Mitei: Neno la pili, hata Speaker wa Bunge achaguliwe na raia. Sio kwamba yeye ni bunge aende achaguliwe kwa

sababu yeye yuko na rafiki yake hapo. Yeye atoke nje tu aseme mimi nimesoma nimefika class fulani na mimi niko na

experience fulani na mimi naweza kuwa Speaker wa parliament.

Com. Asiyo: Achaguliwe na bunge?

Cllr. Hosea Mitei: Achaguliwe na raia. Ya mwisho ni kuhusu mshahara ya wabunge. Mshahara wakati wanataka

kuongezewa mshahara, hata mfanyi kazi wowote wa serikali waongezwe vile wanavyotaka, vile wanapigania yao. Kwa sababu

hata wafanyi kati wa serikali wanafanyia service mwananchi kama wabunge vile wanavyofanyia. Kwa hivyo mshahara

wakiongeza yao mfanyi kazi wa serikali aongezewe. (clapping) Kwa sababu unaweza kuta waalimu wanaumia hapa na hao hao

waalimu walifundisha yule Professor Mbunge. Kwa hivyo ni heli akiongeza mshahara wake waalimu waongezewe, polisi

aongezewe, councillors waongezewe. Sio kwamba mtu akifika mahali fulani akifika anajua yeye ameshiba anaenda kushiba

zaidi na amesahau ni nani alimchagua.

Com. Ayonga: Tengeneza point yako. Na unataka nani awaongeze mshahara?

Cllr. Hosea Mitei: Mshahara watangaze kwamba mshahara inatakiwa kuongezwa watangaze hata kama wako parliament

itangazwe pale na iwe mshahara ni uniform.

Com. Ayonga: Lakini wewe umeshajua nchi ambayo wananchi watatangaziwa ndipo waseme mshahara utakuwa namna hivi

mbila ya kuwa na body ambayo ingekuwa inangalia maneno ya mshahara?

Cllr. Hosea Mitei:Hawajatengeneza board wanapitisha tu.

Com. Ayonga: Ndio, lakini to recommendation.

Cllr. Hosea Mitei: Recommendation yangu itengenezwe board yao na mfanyi kazi wa serikali.

Com Ayonga: Sindio, uwaambie unachotaka board iwemo ya kutengeneza mambo ya mishahara.

Cllr. Hosea Mitei: Asante kwa kunisaidia bwana. Basi ni heli board itengenezwe ya kuangalia mshahara ya wabunge, mfanyi

kazi wa serikali na mtu yeyote anaetumikia mwananchi. Kwa hivyo Bw. Commissioners nimechelewa na ningekuwa tu na

48

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!